Kusahihisha ni kumsaidia yeye na wengine (kama atapenda kusaidika).Mkuu watanzania wengi hawajui kiingereza ila wanakipenda sana. Maadamu wanaelewana au umemwelewa unakausha tu maana utajichosa kusahihisha.
Kamanda umenena vyema.Hebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC, usafiri wake ukiwa ni V-8, leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY, tena kwenye gari ya kupewa lift na Msamalia Mwema
Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo mengi sana na Mwalimu Mkuu ambaye ni Mungu Mwenyewe, kama kuna asiyeelewa basi hatuna cha kumsaidia
View attachment 1817180
Kamanda umenena vyema.
UsinizingueLumumba hawaitania kamanda, ni komredi(cde)
Ni Lecturer na siyo Lecture !Huyo ni Lecture wa Iringa university
Anarudi kufundisha chuo kikuu
Ana Akili sana, Sema ana masihara sana na mizaha mingi sana
Ni msomi mzuri tu wa falsafa na saikolojia, Tatizo Lake ni anaongea mambo kinyume nyume sana, Usipokuwa makini anakuingiza chaka huyo Chalamila
Anaweza akawa anakusifia kumbe anakukejeli
Anaweza akawa anakukejeli kumbe anakusifia
Juzi kaongea Mwanza kwa lengo la kusifia kuwa watu hawatabeba mabango , Mama kamshutukia kuwa mnafiki mkubwa chalamila
Anaongea mambo zig zag sana
Alitaka kugombea ubunge enzi za JPM, Ghafla akapiga u turn na kujifanya Mbeya kuna miradi mingi ya kusimamia hivyo bora abaki Mbeya, Kumbe alikuwa anaogopa kutumbuliwa na JPM
Huyo janja janja sana
Huyo ni Lecture wa Iringa university

Huyo janja
Maelezo yako ynaonyesha hana akili kama unavyosema. Unless otherwise ''akili'' kwako ni mtu anayefanya mambo ya ujinga..Kutokana na maelezo yako naweza kusema
Ni kama analia!!!Hebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC, usafiri wake ukiwa ni V-8, leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY, tena kwenye gari ya kupewa lift na Msamalia Mwema
Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo mengi sana na Mwalimu Mkuu ambaye ni Mungu Mwenyewe, kama kuna asiyeelewa basi hatuna cha kumsaidia
View attachment 1817180
Kama huyu ndiye mwenye akili na ndiyo yuko hivyo basi hao wasio na akili huko iringa sijui watakuwajeHuyo ni Lecture wa Iringa university
Anarudi kufundisha chuo kikuu
Ana Akili sana, Sema ana masihara sana na mizaha mingi sana
Ni msomi mzuri tu wa falsafa na saikolojia, Tatizo Lake ni anaongea mambo kinyume nyume sana, Usipokuwa makini anakuingiza chaka huyo Chalamila
Usinizingue
KarudiHebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC, usafiri wake ukiwa ni V-8, leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY, tena kwenye gari ya kupewa lift na Msamalia Mwema
Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo mengi sana na Mwalimu Mkuu ambaye ni Mungu Mwenyewe, kama kuna asiyeelewa basi hatuna cha kumsaidia
View attachment 1817180
Karudi vipi?
Sema karudishwa , hata hivyo elimu tuliyopewa hapa tuizingatieKarudi
Sema karudishwa , hata hivyo elimu tuliyopewa hapa tuizingatie
Huu mtindo wa teuzi unachochea wizi na upigaji serikalini.Karudi vipi?
Hayo mengine baki nayoHuu mtindo wa teuzi unachochea wizi na upigaji serikalini.
Kama alikuwa hafai amerudishwaje!?
Na kama alikuwa anafaa kwanini aliondolewa!?
Haitashangaza mtu kama hayu akiwa mfujaji wa mali za uma, maana hata kama atajituma vipi hajui kesho yake.
Huijui ccm wewe!Sema karudishwa , hata hivyo elimu tuliyopewa hapa tuizingatie
Rubbish!!Huijui ccm wewe!
Wale huwa hawatumbuani ila wanapishana nafasi za kula kwa zamu!
Nyie machadema huwa mnanishangaza sana mnaposhangilia mambo yanayoendelea ccm
Utaweka wapi hilo fuvu lako 😂😂Hebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC, usafiri wake ukiwa ni V-8, leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY, tena kwenye gari ya kupewa lift na Msamalia Mwema
Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo mengi sana na Mwalimu Mkuu ambaye ni Mungu Mwenyewe, kama kuna asiyeelewa basi hatuna cha kumsaidia
View attachment 1817180