fufumajeusi
Senior Member
- Dec 21, 2024
- 148
- 254
Aende branch .....JF inakushauri kama ni wewe nenda piausije sema sikusema, jamaa yangu kaa aplai loan alikua na immediate cause kwenye mfumo wao ,mpaka sasa wiki imepita kwenye mfumo wao inasoma complete disbursed ila kwenye account hakuna pesa imeingia ,akiwapigia hawatoi ushirikiano wowotee.
yuko iringa ataingiaje cost ya kwenda Arusha kufata loan ,ambapo sikuhizi mfumo uko simplified mkuu?Aende branch .....JF inakushauri kama ni wewe nenda pia
yuko mkoani,napia loan huwa inataratibu zake na amezifata wame zi approve msaala kwenye kuingiziwa hela ndio kimya till dateMambo ya kiofisi sio ya kupiga simu, aende straight office zao,
Point issue nzito za ki office ni nzuri kutokea uso kwa uso. Mtu anaweza pokea simu na akatelekeza au asipokee na huku muhusika ukaendelea taabika. Sie yunafanya kazi sana ka mazoeayuko mkoani,napia loan huwa inataratibu zake na amezifata wame zi approve msaala kwenye kuingiziwa hela ndio kimya till date
mkuu, simu yao ya kiofisi kabisa then hawa toi ushirikiano, nikaenda kwenye instagram page yao nako wana lalamikiwa sana na wateja kuwa hawatoi loan zaidi ya 2weeks sasa. kitu ambacho ni tofauti na Nmb,crdb nkPoint issue nzito za ki office ni nzuri kutokea uso kwa uso. Mtu anaweza pokea simu na akatelekeza au asipokee na huku muhusika ukaendelea taabika. Sie yunafanya kazi sana ka mazoea
0800 78 1122,022 221 4001 namba zao hizo lkn bado bila bila na mshikaji alikuwa na immediate cause alipanga kui solvePoint issue nzito za ki office ni nzuri kutokea uso kwa uso. Mtu anaweza pokea simu na akatelekeza au asipokee na huku muhusika ukaendelea taabika. Sie yunafanya kazi sana ka mazoea
okNenda ofisini kwao
oyaahKopeni hizi benki kubwa kubwa tu Kama NMB, CRDB, NBC. Hao wengine fanyeni Kama hamuwaoni.
nizungukie wapi mkuu?Kwa nini umemtumia jamaa ambae ajakopa kwani ukisema umekopa hiyo bank na wanakusumbua kukuwekea hela ambayo wao washamaliza kila kitu utapata kesi kwa nini unazungukia Iringa..
Nenda bank zinazoeleweka kuchukua mkopo shida nini huko Boa sijui Azania unatafuta nini?nizungukie wapi mkuu?