Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Usithubutu kuwambia msabato maneno haya, Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato; mambo hayo ni kivuli cha mambo yajayo; bali mwili ni wa Kristo.
Wadau hamjamboni nyote?
Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe watajie hilo fungu hapo juu
Niwatakie siku njema
Wadau hamjamboni nyote?
Ukitaka ukosane na Ndugu zetu Wasabato wewe watajie hilo fungu hapo juu
Niwatakie siku njema