Usithubutu mtanashati mwenzangu/acha kabisa "Shaving powders"

Usithubutu mtanashati mwenzangu/acha kabisa "Shaving powders"

KWENYE PESA HAKUNA ADUI

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
225
Reaction score
349
Salam ndugu zangu wana jamvi.
Naombeni maarifa ya kuepukana na changamoto ya ugonjwa wa ngozi "MELASMA". Nimekuwa mtumiaji kwa zaidi ya miaka mitano (5) wa hii bidhaa ya MAGIC POWDER, ku-shave ndevu. Ila kwasasa imeniunguza sana mashavuni (usoni) na kifuani (wakati napaka ilikuwa inadondikea)
NATANGULIZA SHUKRANI,MWENYE KUJUA TIBA.
ASANTE 🙏
 
Ndevu hata kunyolea kiwembe haitakiwi laa sivyo utazeeka kabla ya muda wako kama una ulazima wa kunyoa sana nunua cutting machine za ndevu za kuchaji tumia hizo kunyolea hata upele hauwezi kupata.

Ila usinunue hizi za elfu 20 tenga budget kwanzia 60k+ unapata nzuri ambayo ukichaji mara moja unasahau kuna moja huwa naichaji mara moja inakaa miezi hata mitatu bila kuisha chaji.

Ila ukitumia hizi njia nyingine huwa naona zina outcomes mbaya sana hasa kutumia wembe na hizo poda
 
Back
Top Bottom