KWENYE PESA HAKUNA ADUI
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 225
- 349
naomba darasa hapaPaka asali mbichi.
Shukrani mkuu. Ila nyembe!!Ahahahaha hv mie napiga wembe tu
Pole mkuu
Ngozi inaungua km mbabuko hivi.Ndio manini hayo mkuu?
Shaving powder, zipo sana barbershop/unakuwa nayo washroom kwako ni nzur sana ila changamo ndiyo km yalinlyonikuta baada ya miaka mitano. UsijaribuSisi wakazi wa Rorya vijiji hiyo power ndiyo nn