Usithubutu mtanashati mwenzangu/acha kabisa "Shaving powders"

Nachukua mzee. Asante sana
 
Alama ya kuungua,miwasho mara chache sana maeneo ya shingoni,mkuu.
Okaaay basi sawa. Embu tujaribu mbinu hizi.

1. Kama pia unatumia kiwembe kushave acha mara moja. Ikiwa ni hiyo Magic powder pia acha mkuu.

2. Shave kwa mara ya mwisho halafu nenda kaoge, kisha tafuta jani la aloe vera likate, ule utomvu wake jipake eneo lote uliloshave. Usijaribu kutumia limao wala ndimu kupaka eneo hilo.

3. Pendelea kutumia sabuni za maji zenye sylic acid unapokwenda kuoga na uwe inaipaka kwa wingi eneo lako lililoathirika. Achana na powder wala rotion eneo ambalo limeathirika hasa uso wako ukiwa ni wa ngozi.

4. Kwenye mloa usisahau pia kutumia matunda mara kwa mara hasa parachichi na embe.

Kila la heri.
 
Mkuu nakushukuru sana,nilishaacha kutumia kama miezi miwili sasa. Nimekuwa mtumiaji wa shower jelly miaka mingi za lemon.πŸ™πŸ™
 
Okay, kuna hii dawa "MELANON X CREAM" inaweza kuwa msaada pia?
Ngozi ina tabia ya kujiponya yenyewe, ndo maana nikakushauri kwa kesi yako kitu cha kupaka kwa sasa tumia tu Aloe vera, Aloe vera ni natural na ina karibia ingredients zote.

Jipe muda bila kutumia cream/rotion. Mafuta ya nazi ni mazuri pia. Baada ya muda tafuta Nivea Luminous 630.
 
MKUU BARIKIWA SANA. JF NI SHULE πŸ™πŸ™
 
Ushauri mzuri
 
Yani kitu kikidhuru wewe basi ndio hakifai?Kuna mtu akila nyama ya kuku inamdhuru,mwingine akinywa maziwa yanamdhuru nk.Mimi mwaka wa 20 huu natumia magic powder na niko soft
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…