USITHUBUTU

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
USITHUBUTU

KUTAZAMA MPIRA UKIWA NA MWANAMKE NI MASWALI MASWALI YANI NI STRESS TUPU!!

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: Honey timu gani zinacheza leo?

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: Arsenal vs Manchester Utd```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: oooh safi sana, ninaipenda Arsenal.

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: Safi hiyo timu nzuri sana, hujakosea Darling.```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: Drogba anacheza?

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: ```Drogba hachezei timu yoyote kati ya hizi zinazocheza hapa.```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: Okey sweety. Oh huyo ni Chriss Brown?

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: [akiwa ameboreka]
```Hapana huyo ni Theo Walcott.```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: Ahaa ila wanafanana sana. Hiyo kadi ya njano aliyoonyeshwa huyo mchezaji n ya nin?

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: ```Hilo ni onyo kwa mchezaji aliyeonesha utovu wa nidhamu kwenye mchezo.```

_*```Baada ya dakika chache Wayne Rooney akafunga gori la kwanza kwa Manchester utd```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: Huku akishangilia pasina kujua timu yake ndiyo iliyofungwa]
_Oh oh Mume wangu Huyo ni walcot ndio amefunga goli ee?

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: [akiwa mpolee baada ya kufungwa]
```Hapana sio Walcott ni Rooney ndio ameifunga Arsenal.```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: [akiwa amefura hasira]
_Kwanini? Ilitakiwa Arsenal ndio ashinde.

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: [kimya]

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: Hiyo kadi nyekundu aliyoonyeshwa huyo mwenye kiduku ni ya nini?

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: [akiwa ameboreka kweli kweli]
```Hiyo kadi nyekundu inamaanisha kwamba mchezaji atoke nje kutokana na kufanya madhambi uwanjani.```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: kwa hiyo akitoka nje anaenda kuwa kocha?

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: [akiwa amechoshwa na maswali ya mkewe huku akiwa hana utayari wa kujibu]
```Aaaaaaaa Hapana wife. Anatoka nje kabisa hatakiwi kuonekana hata kwenye benchi la ufundi.```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: Kwa hiyo kadi nyekundu ni kama taa za barabarani.
#Njano=Onyo
#Nyekundu=Hatari

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: [akijibu tu ilimradi yaishe]
```Haswaaa mke wangu, hivyo hivyo.!!

%Mke: Vipi kuhusu kadi ya kijani

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: mmmmmh hapana kitu kama hicho katika mpira wa miguu.```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: Nataka Arsenal ishinde kombe la Dunia

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: [akaguna]
```Kombe la dunia ni mashindano ya mpira wa miguu baina ya nchi na nchi na Arsenal sio nchi ni klabu ya mpira. Inacheza kwenye ligi ya Uingereza```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: Ni nani huyo mbaba aliyesimama amevaa koti refu na anapua ndefu anaefanana na Mr. Bean?

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: akiwa ameboreka haswa]
```Huyo ni kocha wa Arsenal anaitwa Arsene Wenger.```

[HASHTAG]#Mke[/HASHTAG]: Kwaio inamaanisha kwamba kocha wa hiyo timu pinzani anaitwa Machester Wenger?

[HASHTAG]#Mume[/HASHTAG]: [akabadilisha channel na kuweka *TBC1 kipindi cha chereko chereko*

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ha ha ha hapo mimi nishapiga na ngumi tv maswali kama polisi.. aghrrrrrrrrr inaboa
 
Jaman anataka kujifunza mpiraπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hahahahahaha. . ila huu utani wa ngumi hata kama ni kujifunza
 
 
Achilia mbali kuangalia mechi na mke wangu...series ikimpita kidogo uje utamsimulia mwanzo mpaka mwisho..ni kero aisee,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…