Usitoe ahadi ambazo huwezi kuzitimiza zitakugharimu

Red black

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2019
Posts
18,719
Reaction score
60,636
Ahadi ni deni.
kama kitu huwezi sema siwezi sio unaanza kutoa ahadi za uongo.

Fake promise zitakugharimu vibaya sana yule uliemuahidi unamuachia maumivu makali sana.

Nipe cv yako kuna mahali ntaconnect na utafanikiwa 100% kumbe uongo.

Jitolee hapa kwa mwaka mmoja after that tutakupa kazi ya kudumu na mshahara mnono kumbe uongo.

Fake promise zinaumiza sana lets us be real.

Je ulishawahi kupewa au kutoa fake promise?
An what happened
 
Ww ni jinsia gani?
 
Back
Top Bottom