Ww ni jinsia gani?Ahadi ni deni.
kama kitu huwezi sema siwezi sio unaanza kutoa ahadi za uongo.
Fake promise zitakugharimu vibaya sana yule uliemuahidi unamuachia maumivu makali sana.
Nipe cv yako kuna mahali ntaconnect na utafanikiwa 100% kumbe uongo.
Jitolee hapa kwa mwaka mmoja after that tutakupa kazi ya kudumu na mshahara mnono kumbe uongo.
Fake promise zinaumiza sana lets us be real.
Je ulishawahi kupewa au kutoa fake promise?
An what happened
Mm ni mwanamke, sasa jinsia yangu inakuhusu nn?.
nilishakipata Mama.Endelea kuedit
Unachokitafuta utakipata.
Promise to marry, ni kosa ujue!Nipe tamu nitakuoa mamantu 🤣
Mwaka wa nne huu, Watu wabaya sana.