Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Biblia imeandikwa na nani?Mahari inalipwa Toka enzi...
Biblia imeandika Mwanzo 34:12
Mahari inalipwa Toka enzi...
Biblia imeandika Mwanzo 34:12
Ukute jamaa ana andika hapa uku ana weka buku kwenye kibubu cha mahali
Ukorofi huo
Nilishawahi uzwa Mkuu...Wéwe utakubali kuuzwa kama ng'ombe?
Nilishawahi uzwa Mkuu...
Ni kawaida kikubwa hawanili nyama
Mahali ni shukrani
We utamchukua binti wa mtu akuzalie watoto wa u bin wako bure
Akupikie bure
Akufulie bure
Utelezi bure kadri unavojisikia
Mwanaume lijali unalipa mahali kwa shukrani kwa familia ya mkeo
Hivi huko Dar wanaume wameisha?
Yaani mwanaume lijali unaona ushujaa kutolipa mahali ya mkeo
Basi olewa wewe utolewe mahali
Sent using Jamii Forums mobile app
Bas mi mbwa au ng'ombe nionaye thamani ya kununulia kuliko kuchukuliwa tu na zigo linalohitaji huruma....ninunue unimiliki utakavyo..
Mimi haya yote naamini yanasababishwa na umri,kila kitu kina wakati wake ukifika hakikwepeki..
Kuna umri ukifika automatically unajikuta unajaa kwenye mfumo yaani kila kitu duniani kilishafanyika na kitaendelea kufanyika tutake tusitake,kuna vitu binafsi nikiwa na umri fulani nilikuwa nikimuona mtu anavifanya nilikuwa namuona wa ajabu but leo nipo ktk umri ule mimi mwenyewe navifanya na tunaolingana umri wananiona nipo sawa madogo wananiona bro nazingua.
Wagonjwa wa akili wanaongezeka sana
Hapa umepuyanga leo MAHALI siyo kuuza Bali ni mpango dhabiti ili mwanaume ajue kuwa huyo mkewe hakutokea tu from no where Kuna watu walipigana mpaka kufikia hapo alipo .Kwema Wakuu!
Nasisitiza, vijana kama ulikuwa ni mpango wako kutoa kuoa mwaka huu kwa kutoa mahari. Sitisha! Usitoe mahari. Ila ni vizuri kwenda kujitambulisha kwao na kwenu.
Kama kuna uwezekano fanyeni sherehe ndogo kulingana na uwezo wenu.
Kamwe Usitoe mahari.
Mahari ni kununua binadamu ambaye ni mnyama. Mtu kamwe hanunuliwi.