Usitoe mahari, epuka mila potofu

Kwani na wewe mwanaume umetokea from no where mpka ukaenda kupangiwa hela ya kutoa, na bado utaendelea kuwatunza,kama mahari ni kwajili ya kulipa fadhila za kutunziwa binti kwani mwanaume hakutunzwa na wazazi,huko india wanaume wanalipiwa mahari
 
Kwa hiyo tukienda mnadani kununua mbuzi kumbe tunaweza kuita
Mahari
 
Hata siwezi kubishana na ww
Inaonekana somo la afya ya akili linahitajika kwako.
 
Hata siwezi kubishana na ww
Inaonekana somo la afya ya akili linahitajika kwako.

Ni kawaida ya wabongo kufuata mkumbo. Sidhani hata kama unajua jinsi akili na mfumo wa fahamu unavyofanya kazi.
Ninyi mkiambiwa afya ya akili mnarukia mambo kwa sababu ya ujinga mlionao.

Mtu akikuambia kukeketwa sio vizuri pia utasema anahitaji somo la afya ya akili.
 
Toa mahari acha janja janja kama ni mila potofu mbona mpaka leo unatumia ubin wa babu yako kwenye vyeti vyako kwann usiseme alishakufa uachane nao huo ubini wake Tumelithishwa Tuwalithishe
 
Toa mahari acha janja janja kama ni mila potofu mbona mpaka leo unatumia ubin wa babu yako kwenye vyeti vyako kwann usiseme alishakufa uachane nao huo ubini wake Tumelithishwa Tuwalithishe

Unauhakika natumia ubin wa babû yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…