Farey_King
JF-Expert Member
- Feb 22, 2023
- 461
- 838
Kwani na wewe mwanaume umetokea from no where mpka ukaenda kupangiwa hela ya kutoa, na bado utaendelea kuwatunza,kama mahari ni kwajili ya kulipa fadhila za kutunziwa binti kwani mwanaume hakutunzwa na wazazi,huko india wanaume wanalipiwa mahariHapa umepuyanga leo MAHALI siyo kuuza Bali ni mpango dhabiti ili mwanaume ajue kuwa huyo mkewe hakutokea tu from no where Kuna watu walipigana mpaka kufikia hapo alipo .
Kumlea mtoto wa kike na kufikia hatua akaonwa na kufaa kuwa mke siyo jambo la lelemama na dogo
Mahali ilipwe hii pia inadhihirisha kama wazazi hawamtaki mwanaume wanaweka mahali ya juu ashindwe ili aolewe na mwingine basi
Vijana lipeni mahali mke asiyelipiwa mahali ni mwepesi sana na hata ukweni mume asiyelipa mahali ni mwepesi mno
Lipa mahali jipe daraja la juu
Mke siyo bidhaa kama bidhaa zingine ila ni bidhaa Bora Kwa matumizi