Usitoe misaada hovyo hovyo

Kuna ule usemi wa kichina,unasema"nikikupa samaki nimekulisha kwa siku moja lkn nikikufundisha kuvua samaki nimekulisha maisha yako yote"

Ni hivi!....
Njia nzuri ya kusaidia watu sio kuwapa wanachotaka Bali ni kuwapa means ya kupata wanachotaka..
 
Linda uchumi wako Kwa wivu mkubwa
 
Siku za nyuma nilikuwa namsaidia sana shemeji yangu, kuna siku aliniomba ela bahati mbaya sikuwa na ela na mshahara ulichelewa sana kutoka bahati mbaya hakakosa uvumilivu kwa kuniandikia msg "samahani shemeji kwa kukusumbua acha nikae na shida zangu'kiukweli niliumia sana ikabidi nimkope mtu nimtumie na toka siku hiyo nikakata mazoea nae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…