Usitoe misaada hovyo hovyo

Usitoe misaada hovyo hovyo

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
14,588
Reaction score
32,361
Huu ni uzi tu wa kukumbushana. Kuna wale wenzetu wanaojifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe nawasihi muache ujinga. Kusaidia sio jambo baya ila unaposaidia kiasi cha kutaka kujiyumbisha kiuchumi inakuwa sio sahihi. Saidia kulingana na uwezo wako na usisaidie hovyo hovyo. Watu wasikuzoee.

Kumbuka kabla ya kukuomba msaada watu walikuwa wanaishi maisha yao. Kwahiyo hata usiposaidia watapata jinsi ya kujinasua. Epuka kuwekewa alama kama mtoa misaada. Ukifilisika watakuhama na kutafuta mhanga mwingine. Watasahau kila kitu ulichowasaidia na wengine watakucheka na kukuona mpuuzi.

Hata ukiwa kanisani usibabaike na mchungaji anavyosema "toeni ili madirisha ya mbinguni yafunguliwe baraka kwenu"... pale church wanakuwekea na vijana wazuri kukuimbia nyimbo tamu ili utoe hiyo hela. Tafadhali chukua tahadhari.

Linda uchumi wako kwa wivu mkubwa.

Pia soma;
 
Kwa kiasi fulani fulani una Hoja yenye mashiko.

Kwa kuwakumbusha tu ni kwamba Wamiliki wa vyombo vya usafiri binafsi hasa waliopo kwenye miji mikubwa Kama vile Dsm, Mwanza, Arusha, n.k, wasipendelee kuwapa lifti hovyo hovyo Wanafunzi wa Shule kwenye magari yao. Hata kama kuna ugumu wa usafiri au kuna foleni kubwa sana ya magari kwenye usafiri wa umma, usipendelee kabisa kuwasaidia Wanafunzi kwa Kuwapa lifti na kuwapakia kwenye gari yako. Siku moja huo wema wako unaweza kuja kukugharimu vibaya sana.
Take care!
 
Sawa nitazingatia ushauri wako!
 
Usipowasaidia watu nani awasaidie hadi ulipo ulisaidia hakuna mwanadamu aliyefanikiwa bila kushikwa mkono
Pili wewe unaweza tumika kama daraja la kuwafusha wengine kiuchumi haya mambo hayaendi bure bila malipo shida mnataka mlipwe pesa.
Unaweza kuwa haujawahi kwenda hospital wewe na jamaa zako hata miaka 20 kumbe ni ile sadaka ulizotoa.
Unaweza ukawa na ndoa imara, watoto wenye maadili,haujawahi lala njaa Wala kuishiwa,ukoo wako hakuna amewahi kuingia jela ,nk baraka zipo nyingi sana sema mnataka hizi za kuonekana kwa macho.
Ili la kusaidia kupita uwezo wako yaani kujimaliza au la kutoa misaaada ili uonekane sio sahihi.
 
Huu ni uzi tu wa kukumbushana. Kuna wale wenzetu wanaojifanya wakristo kuliko kristo mwenyewe nawasihi muache ujinga. Kusaidia sio jambo baya ila unaposaidia kiasi cha kutaka kujiyumbisha kiuchumi inakuwa sio sahihi. Saidia kulingana na uwezo wako na usisaidie hovyo hovyo. Watu wasikuzoee.

Kumbuka kabla ya kukuomba msaada watu walikuwa wanaishi maisha yao. Kwahiyo hata usiposaidia watapata jinsi ya kujinasua. Epuka kuwekewa alama kama mtoa misaada. Ukifilisika watakuhama na kutafuta mhanga mwingine. Watasahau kila kitu ulichowasaidia na wengine watakucheka na kukuona mpuuzi.

Hata ukiwa kanisani usibabaike na mchungaji anavyosema "toeni ili madirisha ya mbinguni yafunguliwe baraka kwenu"... pale church wanakuwekea na vijana wazuri kukuimbia nyimbo tamu ili utoe hiyo hela. Tafadhali chukua tahadhari.

Linda uchumi wako kwa wivu mkubwa.
Dah🙃😜
 
Kwa kiasi fulani fulani una Hoja yenye mashiko.

Kwa kuwakumbusha tu ni kwamba Wamiliki wa vyombo vya usafiri binafsi hasa waliopo kwenye miji mikubwa Kama vile Dsm, Mwanza, Arusha, n.k, wasipendelee kuwapa lifti hovyo hovyo Wanafunzi wa Shule kwenye magari yao. Hata kama kuna ugumu wa usafiri au kuna foleni kubwa sana ya magari kwenye usafiri wa umma, usipendelee kabisa kuwasaidia Wanafunzi kwa Kuwapa lifti na kuwapakia kwenye gari yako. Siku moja huo wema wako unaweza kuja kukugharimu vibaya sana.
Take care!
Ni kweli kabisa.unaweza kusingiziwa umempa mimba.
 
binafsi msaada natoa kwa yule ninaeona ana uhitaji kwelikweli, ila nilishakataa kutoa sadaka huko kanisani hasa haya makanisa yanayojiita ya kiroho ni matapeli wa kiroho ajenda iliyokuwa nyuma yao ni fedha tu
 
Upo sahihi mtoa mada
Kwa sasa kama ni msaada bora ukawape yatima
Uswahilin ukiwa mtu wa kusaidia unatengeneza chuki
huyu kumbe anajionesha anazo kuliko sis
wanakupiga kitu kizito uka hadithie kwenu
 
Binadamu tupo tofauti sana mara unakuta huyu anawaza vile huyu anawaza hivi inakuwa kama ni mashindano 😆
Tunaendeshwa na hisia sana. Hisia mchanganyiko, kuna muda unajikuta hisia zinapigana bakora kinoma huko kichwani, yaani kuna muda unaona kabisa mambo yanavurugana kichwani 😀.

Muhimu na la kuyashinda yote nikuwaza positive tu, always be positive, hakuna kulalamika lolote, hakuna kuchukia utengeneze ernegy positive kwenye mwili wako. Kula vizuri, fanya mazoezi, uwe umepata, uwe hujapata, ruhusu maisha yasonge mbele.
 
Back
Top Bottom