Usitumie nguvu kubwa kusolve matatizo ambayo yapo juu ya uwezo wako

Usitumie nguvu kubwa kusolve matatizo ambayo yapo juu ya uwezo wako

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Katika maisha Kuna moments inafika tunakutana na changamoto ambazo kwa namna moja au nyingine automatically zipo juu ya uwezo wetu.

Matokeo yake ni pale mtu anafanya mambo mabaya akidhani ndio solution

Hali hii inapelekea msongo wa mawazo, kujiua hata matatizo ya afya ya akili.

Hapo utasikia matukio kama kujiua, kukimbia familia nk.

Kama kitu kipo nje ya uwezo wako ACHA.

Kipato Chako ni 10k kwa siku una mkopo wa 90k kama marejesho usiwe na stress ACHA.

Yani Kuna tatizo Huwa linakuja nje ya uwezo wako alafu Kuna asili pale au nature Huwa Inakuja kama nguvu ya Mungu kusolve tatizo hili.

So kila tatizo Huwa Lina solution mengine muachie Mungu ni jukumu lake
 
Back
Top Bottom