LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
yaani asikudanganye mtu eti kutoa ni moyo, hapana, narudia tena hapana, kutoa ni kujilazimisha bila kujilazimisha huwezi kutoa,
Mimi nilikuwa na rafiki yangu alikuja akiwa na shida ya simu yake mbovu lakini kwa kipindi kile ilikuwa ni masika kwahiyo isingewezekana yeye kupata simu kwa wakati ule,
nili chukua simu yangu mfukoni nikatoa lini zangu nikaweka za kwake nikampa hakuamini macho yake nikamwambia chukua katumie Mimi ntaenda weka line kwenye simu ya mke wangu,
yaani kiujumla ni lazima wakati unatoa roho yako iumie ndio utapata baraka bila kuumia maana yake umetoa kisicho na thamani kwako, japo kinaweza mfaa mwingine ila Mimi nazungumzia kwa wale wanaoamini katika mungu,
mfano yesu aliumia ili wakristo wapete furaha.