Usivunje kabati kwa written interview mdau

Usivunje kabati kwa written interview mdau

Mkuu inawezekana kabisa nakumbuka nilisha wahi kwenda Kufanya Interview wilaya ya Chunya huko mbeya, ilikuwa ni ya shirika la VECO, tulipiga interview baadae tuka break na baadae tukaitwa kupewa majibu ya interview so walimaliza kila kitu na kutoa majina ya walio chukuliwa, nilipenda sana na hakukuwa na usanii make kwanza ilisimamwa na Wazungu kutoka Uganda,

So inawezekana ukapiga interview na kupewa majibu siku hiyo hiyo

Kuvaa nako si ishu sana ndo maana mimi naimika sana haya mashirika yanayo ongozwa na wazungu, Mzungu hata ukija kwenye interview umevaa kaputura yeye haangalii anacho anagalia ni materio unayo present, kuna shirika moja sitaki kulitaja jina ni la kimataifa wana miradi huku Bongo kwenye interview zao hawaangalii nguo hata ukivaa bukta wao hawajali
:confused2:
 
Back
Top Bottom