Usiwaamini sana matajiri

Usione vile kina baresa wote wale
Walianza chini mfano baresaa alikua anauza kahawa....

Alafu utajiri ni kujua code tu zimefichwa ndo mana matajiri wengi wana roho mbaya.

Matajiri wengi ni frimason hata diamond ni frimason na mwenzake alikua kanumba.

Usione watu kariakoo kule wana maduka tu lakini wana mambo yao mfano kuna duka nilikuta Lina ungua nikaona jamaa anatoa paka tu.....

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Ujinga ujinga tu na mimavi kibao kichwani...
 
Frimason ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…