M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Filmason? Hii ni dawa ya fungus au ni aina ya body spray?"daimond?, wewe!! Daimondi anaela gani? Yule maskini tu. Hela ni za babutale ye anamshikia tu"
"Kwanza yule awezi kua filmasoni. Filmasoni bongo?"
Matajiri tunasimangwa sanaππππ Usione watu wanapesa mjini ukifatilia wengi hawana amani wanaishi bila furaha
Ahahaha kwanini mnasimangwa sana mkuu πππππMatajiri tunasimangwa sana
Sio watu wazuriAhahaha kwanini mnasimangwa sana mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]