kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Maumivu ya moyo hayakandwi na maji moto.Unaweza kunipa kipimo cha maumivu ya penzi?Kwanini tena we Koku?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maumivu ya moyo hayakandwi na maji moto.Unaweza kunipa kipimo cha maumivu ya penzi?Kwanini tena we Koku?
Wajifunze kwamba mazoea yanaua!
Na kama mwenye tatizo ni yeye na hataki kuliondoa?Na kama hamna tatizo je?Utamaliza maisha yako kutafuta kitu ambacho hakipo na muda haukusubiri!Dah mada nzuri, ila ni vigumu kuondoka ukizingatia hujui uendako pengine hali itakuwa mbaya zaidi.
Cha muhimu kutafuta chanzo cha kwa nini unapigwa, onewa, dharauliwa na mwenzio, then jaribu kurekebisha mapungufu hayo lazima mambo yatakuwa mwake tena na mapenzi kurudi.