Usiwe king'ang'anizi...soma alama za nyakati!!

Dah mada nzuri, ila ni vigumu kuondoka ukizingatia hujui uendako pengine hali itakuwa mbaya zaidi.
Cha muhimu kutafuta chanzo cha kwa nini unapigwa, onewa, dharauliwa na mwenzio, then jaribu kurekebisha mapungufu hayo lazima mambo yatakuwa mwake tena na mapenzi kurudi.
 
Na kama mwenye tatizo ni yeye na hataki kuliondoa?Na kama hamna tatizo je?Utamaliza maisha yako kutafuta kitu ambacho hakipo na muda haukusubiri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…