Mwanaume ni kiongozi wa maisha yake, mwenye maono na anayepambana kujenga kesho iliyo bora.
Lakini katika safari hii, kuna changamoto—moja wapo ni mzigo wa wale waliochezea maisha yao na sasa wanatafuta pumziko.
aise Niseme wazi: Mwanaume usiwe pumziko la mwanamke aliyechezea maisha yake.
Usibebe mzigo wa maamuzi yake mabaya,kupuuza maadili ,n.k wakati wewe umejitoa kwa nidhamu na bidii kujenga maisha yako. Simama imara, jithamini, na jua thamani yako.
Upendo ni kitu kizuri, lakini lazima uwe wa haki. Mwanaume si ngazi ya mtu aliyepuuza maisha yake, bali ni mshirika wa mtu
anayethamini na kuheshimu juhudi zake. Jenga maisha yako na shiriki na yule anayejenga pamoja na wewe, si yule anayetafuta kuokolewa baada ya kuyaharibu yake.
vijana sasa hivi wakike wakiume hawana ambition za vitu vyaana ukichek vitu wanavyofanya kwenye social media ni blunders