Usiwe pumziko la mtu aliyecheza na maisha yake

strongest

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2024
Posts
343
Reaction score
1,562
Mwanaume ni kiongozi wa maisha yake, mwenye maono na anayepambana kujenga kesho iliyo bora.

Lakini katika safari hii, kuna changamoto—moja wapo ni mzigo wa wale waliochezea maisha yao na sasa wanatafuta pumziko.

aise Niseme wazi: Mwanaume usiwe pumziko la mwanamke aliyechezea maisha yake.

Usibebe mzigo wa maamuzi yake mabaya,kupuuza maadili ,n.k wakati wewe umejitoa kwa nidhamu na bidii kujenga maisha yako. Simama imara, jithamini, na jua thamani yako.

Upendo ni kitu kizuri, lakini lazima uwe wa haki. Mwanaume si ngazi ya mtu aliyepuuza maisha yake, bali ni mshirika wa mtu

anayethamini na kuheshimu juhudi zake. Jenga maisha yako na shiriki na yule anayejenga pamoja na wewe, si yule anayetafuta kuokolewa baada ya kuyaharibu yake.

vijana sasa hivi wakike wakiume hawana ambition za vitu vyaana ukichek vitu wanavyofanya kwenye social media ni blunders
 
Tangu lini mwanamke akaolewa kumsave mme? Mwanaume anaoa kwa mali zake.
Wapo kibao wanaume wasasa hawstaki majukumu wanaolewa nawadada na wamama wao wapo tu kama picha nawajua humu .....

wengii ni suruali tu wanayoo
 
Mwanaume aliyeharibu maisha yake ni wa namna gani huyo?
Naomba mfano.
Mchawi
Hajitumii.
Anapenda vya buree, ni mbeya kama nwanamke,anasuta na kusutwa,ni malaya,hana msimamoo dhabiti,... mlevi wa kutupwa,hajieshimu haeshimu watu.
Mwanaume hana nguvu za kiume,kimoja chali puimbu zimelegea . Anachoka choka bila sababu. Hawezi kujituma kwa lolote.
Yupo yupo tu

Mimi nataka mume bikra
 
Kuna ndumba mzee. Wanaume tuwe imara kwenye mambo ya kimila vinginevyo ni hatari.
 
Dah ni makosa makubwa mno kuhifadhi Jangili ndani ya nyumba
 

Attachments

  • IMG_20250203_041820.jpg
    50 KB · Views: 1
Wakuolewa ni BIKRA TU!! full stop
Cc : Rebeca 83
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…