Usiwekeze hisia kwa mwanamke maskini wa aina hii

Usiwekeze hisia kwa mwanamke maskini wa aina hii

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Jambo?

Ewe kijana nakuhisi sana isije kutokea ukawekeza hisia kwa mwanamke maskini ambae hana hofu ya Mungu.

Wanawake maskini wasiokuwa na hofu ya MUNGU wengi ni washirikina, Malaya na wanatabia nyingi chafu.

Kama hujanielewa mimi Mjanja M1, basi endelea kuwa mkaidi ila litakalokukuta usije kulalamika.
 
FB_IMG_1718497443719.jpg

wanawakee wenyewee wanasemaje mkuu ktk iliiiii.....
 
Ndio mwisho wako wa kufikiri hao wanawake matajiri wasio malaya utawapata wapi?
 
Back
Top Bottom