Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kitu pekee ambacho mwanamke anawekeza kwenye mahusiano ni hisia tu, kwa mwanaume yoyote unaetumia akili kufikiri kikamilifu hawezi kuwekeza kwenye hisia kwa sababu hisia zinabadilika au kuisha kabisa muda wowote.
Huu ni ukweli ambao wanaume karibu wote wanaujua lakini bado wanaendelea kufanya ilo kosa. Wakishapigwa na kitu kizito ndio wanaishia kufanya mauaji au kuwapiga matukio wanawake wengine wakifikiri wnapunguza machungu, kumbe wanawaumiza wasiohusika na maumivu yao.
Mwanaume usibebe iyo risk ya kuwekeza kwa mwanamke, iwe ni kumsomesha, kumuhudumia, kumfungulia biashara, kusaidia ndugu zake n.k, abort huo mpango.
Unajua kwanini wanawake wanaongoza kudai talaka?, sio kwamba wamekua strong women, ila ni kwa sababu hawana cha kupoteza, hawajawekeza kwenye iyo ndoa ukilinganisha na alivyowekeza mwanaume.
Usiwekeze kwa mwanamke kiasi ambacho hauwezi kustahimili maumivu ya kukipoteza, kabla ya kuwekeza kwa mwanamke tambua ya kwamba wewe unapata hasara, yeye anapata faida na ana uamuzi wabkusitisha hayo mahusiano bila kukulipa compensation.
I love you, i love you my brother.