Usiwekeze kwa mwanamke

Hapa ninapoishi kuna shule ya serikali ya ghorofa inajengwa sasa fundi mmoja jana nikamsikia "mm bora nihonge ndo napata nguvu kubwa ya kufanya kazi lkn nikishanunua kile nikipendacho nitakua nimejiridhisha mwenyewe tu"

Nikasema hizi ndo akili za watz jamaa anapigika kule na jua na misumari na mazege halafu anawaza kuhonga hivi ss watz tukoje jmni?
 
 
Basi wawekeze kwa wanaume wenzao. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na hiki ndicho wako vizuri nacho nowadays, wanaona wivu wakiona mademu wanahongeka
 
Inasikitisha lakini kama ni mwanao mara moja moja jaribu kumsanua.

Kuna siku moja nipo na mshkaji wangu tumemwagilia moyo mpaka 12 asubuhi tunataka kusepa mshkaji kaniambia anataka kuondoka na daamedi, nikamwambia achana nae tushalewa sana saivi atakuibia tu.

Jamaa akalazimisha katika kuongea na yule baamedi wakashindwana bei akaja kuniambia mimi nimuongezee hela nikakataa kumpa tukaondoka.

Siku zimeenda, sasa ile bar tunafahamika katika kupiga piga story na watu tukaambiwa yule baamedi ana ukimwi, nikamwambia mwanangu siku ile ungepita sasa hivi ungekua unaishi kwa mashaka mashaka tu.

Kuna watu wakiwa na hela mfukoni ukiwaambia haya mambo wanaona kama vile unawaonea wivu au wewe ni masikini ambae hauwezi kufanya wanayofanya wao, kumbe sometimes inakua ni kama unawalinda.
 
Dadeki we boya pamoja na kukopea mshahara wako wote kwa huyo ajuza wako na bado akakuacha solemba na kuolewa huko tabora bado akili haijakukaa sawa......
 
Huwa na kupinga kwa mambo mengi ila kwa hili hata mimi umenisanua...ukweli mtupu...


Wanawekeza hisia tu, mara i love you ooh nimekuzalia

Cc harmanizer vs Kajala.
 
Na hiki ndicho wako vizuri nacho nowadays, wanaona wivu wakiona mademu wanahongeka
Kuona wivu wala si dhambi na si kinyume na sheria ya nchi ila taratibu tunaendelea kusanuka..........hakika nakwambia wanawake watateseka sana huko mbeleni ikiwa wanaume wote watasanuka......huu mfumo wa 50/50 naomba uendelee kupewa mileage ndo unaelekea kumkomboa mwanaume.
 
Atakuwa mtu wa ccm huyu.
 
Huwa na kupinga kwa mambo mengi ila kwa hili hata mimi umenisanua...ukweli mtupu...


Wanawekeza hisia tu, mara i love you ooh nimekuzalia

Cc harmanizer vs Kajala.
MImi huwa naongea facts, ndio maana ninayoyaongea tunayaona au yapo njiani kufika., wanaonipinga mara nyingi ni wale ambao wanatetea maamuzi yao mabovu ambayo hawataki kukubali kwamba wamekosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…