Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mwasibu asisahau na kadi ya benki na bima piaWeka picha na no. zako za simu ili iwe rahisi kuungwa kwenye saccoss yetu ya humu ndani ambapo utaruhusiwa kukopa si chini la laki 4 mkuu.
Ufanye harakaPoa boss
Kweli hatupendani..? Mie nimeipenda kichwa Cha habari... Waswahili mnamaneno mataamu!!Hodi humu wana jf. M n mgeni naomba kupokelewa
Ha haaaa haaaaaaWeka picha yako halisi na namba za simu, ili uwe special member hapa JF