Usiyoyafahamu katika historia ya Uganda

Usiyoyafahamu katika historia ya Uganda

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Uganda haikuwa imetawaliwa, ikiwa nchi huru ilipokea wa missionary wa ki-Katoliki wakitokea Congo Brazzaville kwenye himaya ya mfalme Leopard. Church of England na Waislamu waliotokea Songhai empire walifika Uganda kueneza dini.

Matokeo ya ujio huu yalikuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe katika mvutano wa imami. Wakati huo Waingereza walikuwa wamejichukulia koloni la Kenya, vita vya wenyewe kwa wenyewe Uganda vilitishia amani katika maeneo ya mpaka wa Kenya na Uganda.

Waingereza waliamua kuwa wasulihishi wa vita vya Uganda. Kutokana na uelewa mdogo wa watawala wa Uganda wa wakati ule Uingereza walisaini mikataba wa amani kuwa guardian wa Uganda na mfalme Kabaka Mutesi kuwa mtawala.

Waingereza walianza kumpa mosasaurs ya kijeshi Kabaka ili kuweka kukabiliana na maadui zake. Pasi kuelewa kuwa nguvu aliyonayo kwa Waingereza ilikuwa kubwa walipoona Kabaka anaitikia na kutekeleza kila walichomwambia walichukua nchi kama koloni lao.
 
Pia waganda walikuwa ndio wamisionary wa kwanza kuingiza ukristo Tanzania kabla wazungu hawajakanyaga. Waliingiza ukristo mkoa wa kagera. Na hata ulokole uliingizwa Tanzania Na waganda kabla Ya wazungu kufika. Dini ya kilokole waliyoanzisha ilijulikana Kama Ya tukutendeleza na wimbo waliokuwa wakiumba umo ndani Ya kitabu cha nyimbo tenzi za rohoni ni wimbo wa mwisho Kabisa uko namba 138 na umeandikwa kiganda. Tafsiri Ya wimbo huo kwa kiswahili ni wimbo namba moja kwenye hicho kitabu cha nyimbo za tenzi za rohoni. Hivyo kitabu cha nyimbo cha tenzi za rohoni kinaanza Na wimbo ulioimbwa na hao wamisionari wa tukutendeleza waganda ukiimbwa kwa kiswahili na wimbo wa mwisho kitabuni ni huo huo ukiimbwa kwa kiganda. Hivyo waganda wana mchango mkubwa kwa ukristo Tanzania
 
Back
Top Bottom