Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Uganda haikuwa imetawaliwa, ikiwa nchi huru ilipokea wa missionary wa ki-Katoliki wakitokea Congo Brazzaville kwenye himaya ya mfalme Leopard. Church of England na Waislamu waliotokea Songhai empire walifika Uganda kueneza dini.
Matokeo ya ujio huu yalikuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe katika mvutano wa imami. Wakati huo Waingereza walikuwa wamejichukulia koloni la Kenya, vita vya wenyewe kwa wenyewe Uganda vilitishia amani katika maeneo ya mpaka wa Kenya na Uganda.
Waingereza waliamua kuwa wasulihishi wa vita vya Uganda. Kutokana na uelewa mdogo wa watawala wa Uganda wa wakati ule Uingereza walisaini mikataba wa amani kuwa guardian wa Uganda na mfalme Kabaka Mutesi kuwa mtawala.
Waingereza walianza kumpa mosasaurs ya kijeshi Kabaka ili kuweka kukabiliana na maadui zake. Pasi kuelewa kuwa nguvu aliyonayo kwa Waingereza ilikuwa kubwa walipoona Kabaka anaitikia na kutekeleza kila walichomwambia walichukua nchi kama koloni lao.