Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
E bwana huyu mwamba Putin amezaliwa mwaka 1952 , kwa sasa ana takriban miaka 70 , huyu mwamba alizaliwa kwenye familia duni sana ,yeye akiwa wa tatu kwenye familia yake kaka zake wawili waliomtangulia mmoja alikufa kwa njaa, na mwingine kwa kipindupindu
Huyu mwamba mama yake alikuwa anafanya kazi viwandani na baba yake alikuwa askari wa mstari wa mbele kwenye vita ya pili ya dunia ,baada ya vita dingi alirudi home majeraha mengi pesa hana na akafariki huku mwamba akiwa mdogo
Putini kitaaluma alibahatisha kupata sponsa akasomea mambo ya sheria, mwamba huyu alionesha uwezo wa hatari kwenye misimamo ya kiitikadi hususani akiwa chuoni hivyo shirika la kijasusi la KGB likamzoom likaona mwamba anawafiti ,walimchukua akafanya nao kazi kwa miaka 16
Ndani ya hiyo miaka alijifunza king fuu,tai chi, karet, na mapigo mengi ya kijapani na kikorea , huyu jamaa urais hakubahatisha bali aliandaliwa kabisa na KGB pamoja na wazee wa jumuiya ya kijamaa ambao wana ushawishi mkubwa kwenye taifa.
Volodymyr Zelenskyy
Sasa tuje kwa huyu mwamba Volodymyr Zelenskyy, e bwana huyu mwamba bado kijana ana takriban miaka 44 , huyu mwamba tofauti na Putin yeye kazaliwa kwenye kamseleleko, nikimaanisha baba yake alikuwa Profesa wa computer na mama yake ni Mhandisi wa mambo ya silaha na wote ni asili ya Uyahudi.
Huyu mwamba ana urefu wa m1.7 ana Diploma tuu, huyu mwamba aliingia kwenye tasnia ya uchekeshaji tangu 2008 , ila kutokana na ushawishi wake CIA wakamwona anawafaa ,hii ni kutokana na tukio moja alilofanya la kushawishi wasanii wote waandamane wapinge Sanaa za Russia. Jambo hili lilifanikiwa na ndipo CIA wakamwona kama anawafaa hivyo wakamchukua na kuanza kumpa mafunzo ya siri nchini Poland ,e bwana jamaa akapewa promo za kufa mtu na dola zikamwagwa hatimae Urais akaupata ,kiufupi jamaa ana mafunzo mengi ya mapigo na yuko fiti na ni mwamvuli wa CIA hadi sasa .