Usiyoyajua juu ya bonde la Ngorongoro

Usiyoyajua juu ya bonde la Ngorongoro

Sawa, lakini vitalu vinauzwa wapi. Wamasai waondolewe wajenge mahoteli au mie peke yake naona na kusikia hivyo?
Ngorongoro haijawahi kuwa kitalu na haitokaa iwe kitalu

Hayo mahoteli yatakuwa mangapi au ukubwa gani mpaka watu wengi waondolewe ?

Watu wanaondolewa ili kuilinda hifadhi.
 
Mnataka waendelee kuishi huko porini kama wanyama huku wakikosa huduma bora kwa faida zenu wenyewe hii sio sawa.
Binafsi sina faida yoyote na yopata-Wenyewe Wamasai ndio wanataka hilo? kwa sababu wanazojengewa 'hasi' Kwa nini waburuzwe kwani hawana akili zao na wameishi miaka nenda rudi?
Mnawatumia kama vyanzo vyenu vya mapato ya kitalii huku nyie mkinufaika na sio wao, hamna huruma kabisa nyie.
Waambie hawo CCM na vibaraka wao.
Ni lazima waondoke huko ili Ngorongoro ibaki hai na wao wapate huduma muhimu kama Watanzania wengine.
Kushindwa kwa serikali yao kupeleka huduma kwao na kuleta mbadala wa kuwahamisha kwa vigezo na sababu 'hasi' sio mbadala mzuri. Kwanza tunaaminishwa ni wakuja, watoka sudan hao sasa lipi ni lipi?
 
Kushindwa kwa serikali yao kupeleka huduma kwao na kuleta mbadala wa kuwahamisha kwa vigezo na sababu 'hasi' sio mbadala mzuri. Kwanza tunaaminishwa ni wakuja, watoka sudan hao sasa lipi ni lipi?
Hakuna huduma yoyote muhimu inayoweza kupelekwa hifadhini, hivyo wanahamishwa kwa nia njema kabisa.

Ila wanaonufaika kwa uwepo wao huko ndio wanapinga na kuzusha uongo.
 
handeni ni jangwa... maji toka enzi za wakoloni, ni jangwa. Unaukbuka mradi wa maji wa Handeni Trunk Main??? Wanakwenda kuumia pumbavu zao
Ni uvivu wa mtu mweusi tu, Lushoto milimani kuna vyanzo vingi vya maji, inawezekana kabisa ku pump maji kutoka Lushoto yafike Handeni. Lakini ni mpaka hili liwe kwenye ilani ya chama dola.
 
Acha watu wazaliane, tuliopo sasa hata robo ya nchi hatujaitumia unataka watu watoke marekani waje waijaze nchi. Popolation ikiwa kubwa kuna akili za ziada tutapata na ni kichocheo cha maendeleo pia sababu katika kuumiza kichwa ni vipi unaweza ku-handle mahitaji ya hiyo population ndipo maendeleo yatakuja automatically.
 
Hao unaodai waondolewe ndio walikuwa wanapigwa picha ili kuleta watalii, ili watu waje kutoka nje na kufika maeneo yao-wamehujumiwa sana sana-pale walipostukia na kudai maafa yao- wakapewa na masharti-moja yapo ambao bado mimi nitaita GENOCIDAL ni lile la kuacha kuwinda simba wakati vijana wao wanabalehe-

Vitabu, majarida, magazeti yameuza mbuga kwa sura ya MMasai. yeroo!
watazaana kama kumbikumbi. Wanajari ng'ombe tu sio wanyama. For once, lets be sensible
 
Lukumay M. Sio mmasai! ni jina la Kimasai lakini huyu mtu hayuko huko na wala hatoki NGORONGORO

Kwa wale ambao walikuwa hawayajui- ya NGORONGORO ya "Lukumay .M"-sasa wanayajua

Kwa wale ambao wanayajua ya NGORONGORO hawaombwi kwa kuhadaa, kwa ulaghai, kwa kudumaza na uzandiki.

Ujumbe uwafikie.

"ACCEPTING OF LOSS COMPESATION ILLUSION"

ilikumhali

TAARIFA JUU YA SUALA LA KUHAMISHA WAFUGAJI WA JAMII YA MAASAI KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO

Ahsante
Aluta Continua
 
Back
Top Bottom