Usiyoyajua Kuhusu Batuli

Usiyoyajua Kuhusu Batuli

Yaah nakumbuka kwenye fake smile alikuwa tofauti sana na sasa....Anyways,ni maisha yake....ila amekuwa mwekundu sana...hizi cream wawe wanapaka kwa vipimo jamaniii......

Mambo ya dodo
 
Yaah nakumbuka kwenye fake smile alikuwa tofauti sana na sasa....Anyways,ni maisha yake....ila amekuwa mwekundu sana...hizi cream wawe wanapaka kwa vipimo jamaniii......
Ubaya wa cream haurudi nyuma unatakiwa uendelee kuipaka na ukiendelea ndo hvyo unakuwa mwekundu....nadhani aunt ezekiel hajaingia kwenye huu mkumbo...
 
hahahah watu wambeya humu, yani bora usiwe celeb!
warumi ngoja nawewe watu waje wakuanike hadharani, ah haha nawewe si ni celeb wa jukwaa la celeb!

jamani mwenye umbea wa warumi atuletee tafadhali!

cc Mrembo by Nature Money Stunna qn of sheba Dinazarde Madam B Ntakasi

Yah kuna watu wanapenda kujua haswa Mimi ni nani na Niko vipi, sio vibay watu kuelezea hisia zao kuhusu Mimi, japokuwa sina uhakika kama mtu ananifahamu au kuis kunifahamu, sio vibaya pia watu kutoa maoni yao.
 
.
Kuna thread siioni !
.
 
Binamu Leo nimekulaje kichambo, kuna mjinga mmoja kaja kuchafua hali ya hewa kwenye himaya yangu, nimempa anachostahili naona hajarud kama sio ban, halaf nahis atakuwa msanii yule maana povu limemtoka hatari, inabid safar hii nikakate health insurance.

Uwiiiii mbona nimepitwaaa uzi ganii huo binamu nikashuhudieee uwe unanistua banaaa
 
Back
Top Bottom