Usiyoyajua Kuhusu Batuli

Usiyoyajua Kuhusu Batuli

Uwiiiii mbona nimepitwaaa uzi ganii huo binamu nikashuhudieee uwe unanistua banaaa

Nishamalizana nae mbona, toka juzi nili kuita naona ulikuwa busy, nilimpa anachostahil
 
Warumi umesahau kimoja...alikuwa na rangi ya maji ya kunde enzi za Kaole but now amekuwa mweupee pee kama Mwarabu
 
Vipi maisha yako ya ndoa?
“ Niliwahi kuishi na mume wangu wa ndoa,
tukafanikiwa kupata mtoto mmoja , lakini
baadaye ilibidi nidai talaka. Niliishi kwenye
ndoa ya manyanyaso sana . Mume wangu
alikuwa akinisaliti waziwazi kiasi kwamba
alifikia hatua akawa anatoka na marafiki zangu
wa karibu.
“ Nilishindwa kuvumilia , nikaomba talaka.
Nashukuru tuliachana salama . Kwa sasa
mwanetu anakaa ukweni (kwa wazazi wa
mume ) na mimi naendelea na maisha yangu .
Baada ya kutengana naye nilikutana na
mwanaume mwingine ambaye naye nilizaa
naye mtoto mwingine . ”
 
Haya ndio maceleb. wetu tayari ndoa,kuachika,mtoto mwingine na bado anatafuta ndoa nyingine
 

Attachments

  • 1409910653231.jpg
    1409910653231.jpg
    37.3 KB · Views: 298
  • 1409910682979.jpg
    1409910682979.jpg
    29.6 KB · Views: 239
[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1483]daah warumi
Warumi ktk tasnia ya Habari za kunyetisha ana uzoefu wa Kiwango cha Phd siyo wa kubeza.
Ila Batuli nimemkubali kwa kujitwalia Kidume wa Kanda Maalum. Heko Baba Malima kwa Kilimo chenye manufaa kwenye shamba ling'aaalo.
 
Back
Top Bottom