Nadhani O-Level kasomea pande za Tandika manake nilikuwa namuona sana maskani wakati anapita kwenda skonga!Makubwa tena haya, kuna siku pia zaman kidogo alichambwaga na msanii gani sijui wa kiume,kuwa hamisa anaringa wakat hana maisha wala elimu, dah nikashangaa maana nilijua hamisa ana degree au diploma, sasa ivi anahangaika uko insta kupiga picha za uchi apate wanaume wamuweke mujini.
Nadhani O-Level kasomea pande za Tandika manake nilikuwa namuona sana maskani wakati anapita kwenda skonga!
1994 mbona kakomaa hivo?
2012 alishiriki mashindano ya Miss University....ina mana alikua anasoma chuo kikuu?
Dah maana watoto wa 1994 wengi wao wanaanza University mwaka huu...
Au ndo kusoma vyuo vya utalipia kidogo kidogo ndo kusema yupo university???
Wabongo bana kwa CV za kuunga unga ndo wao..
Yule kazaliwa kuanzia 1987 hadi 1980 ...cheki sura ile...angekua mbele tungesema junk food ila kwa ugali na sangara wa mwanza hawezi kua wa 1994
Yaani hawezi kua kazaliwa mwaka huo.labda angesema kuanzia 1990 kurudi nyuma
Hahahaa haaaa
Atakuwa wa 90 mkuu 80 hapana dah
Makubwa tena haya, kuna siku pia zaman kidogo alichambwaga na msanii gani sijui wa kiume,kuwa hamisa anaringa wakat hana maisha wala elimu, dah nikashangaa maana nilijua hamisa ana degree au diploma, sasa ivi anahangaika uko insta kupiga picha za uchi apate wanaume wamuweke mujini.
hahahahaMambo makubwa yakutembea na vigogo na watu maarufu
Huko insta anatumia jina gan na sie tuone hizo picha
next target in town...watammega pedeshee wamuache kachoka kama wenzie wanaojidai under 18..maanake sijawahi ona msanii amefanya birthday katimiza mika 25.kilamtu 18...
Huyu si ndie demu yake le mutuz