Usiyoyajua kuhusu Hamisa Mobeto

Usiyoyajua kuhusu Hamisa Mobeto

Status
Not open for further replies.
Sema huyu mleta mada anasema atafanya mambo makubwa yapi ya kina mbuta nanga au yakina Wema hahaha time will tell.
 
Makubwa tena haya, kuna siku pia zaman kidogo alichambwaga na msanii gani sijui wa kiume,kuwa hamisa anaringa wakat hana maisha wala elimu, dah nikashangaa maana nilijua hamisa ana degree au diploma, sasa ivi anahangaika uko insta kupiga picha za uchi apate wanaume wamuweke mujini.
Nadhani O-Level kasomea pande za Tandika manake nilikuwa namuona sana maskani wakati anapita kwenda skonga!
 
Sema huyu mleta mada anasema atafanya mambo makubwa yapi ya kina mbuta nanga au yakina Wema hahaha time will tell.

Mambo makubwa yakutembea na vigogo na watu maarufu
 
Nadhani O-Level kasomea pande za Tandika manake nilikuwa namuona sana maskani wakati anapita kwenda skonga!

Mmh mi nikajua toto la masaki shule kasoma academic int. Kumbebe tandika tena duh , ila watoto wa kiswazi wamejaliwa mienikano mizur, kama lulu ukimwona utasema toto la tajir kumbe umalaya ndo unamuweka mjini mmh kaz kwel kweli
 
1994 mbona kakomaa hivo?
2012 alishiriki mashindano ya Miss University....ina mana alikua anasoma chuo kikuu?
Dah maana watoto wa 1994 wengi wao wanaanza University mwaka huu...
Au ndo kusoma vyuo vya utalipia kidogo kidogo ndo kusema yupo university???

Wabongo bana kwa CV za kuunga unga ndo wao..

Yule kazaliwa kuanzia 1987 hadi 1980 ...cheki sura ile...angekua mbele tungesema junk food ila kwa ugali na sangara wa mwanza hawezi kua wa 1994

Hahahaa haaaa

Atakuwa wa 90 mkuu 80 hapana dah
 
Makubwa tena haya, kuna siku pia zaman kidogo alichambwaga na msanii gani sijui wa kiume,kuwa hamisa anaringa wakat hana maisha wala elimu, dah nikashangaa maana nilijua hamisa ana degree au diploma, sasa ivi anahangaika uko insta kupiga picha za uchi apate wanaume wamuweke mujini.

Huko insta anatumia jina gan na sie tuone hizo picha
 
Mm wa '95, nw nina miaka 19. Sa inakuaje mtu '94 awe na miaka 21. Huu ni uongo usiojificha kabisa
 
duuu basi mimi sikui wajameni! yan age mate analingana na mamang!!!!!
af nilisikia kwao hamisa mabovu vibayaaaa yani kunatisha lool(umbea kazini)
 
duuu basi mimi sikui wajameni! yan age mate analingana na mamang!!!!!
af nilisikia kwao hamisa mabovu vibayaaaa yani kunatisha lool(umbea kazini)

Ni kwel choka mbaya nashangaa kila siku anatupia picha za kwa watu badala apige kwao
 
next target in town...watammega pedeshee wamuache kachoka kama wenzie wanaojidai under 18..maanake sijawahi ona msanii amefanya birthday katimiza mika 25.kilamtu 18...
 
next target in town...watammega pedeshee wamuache kachoka kama wenzie wanaojidai under 18..maanake sijawahi ona msanii amefanya birthday katimiza mika 25.kilamtu 18...

Waache wadanganye umri tu lakini sura haziongopagi....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom