Huyu mtoto analiwa na Michael mlingwa aka mx.
Zamani ndo alikuwa kakomaa sana , sasa ivi naona queen elizabeth imefanya mambo na camera za note 3
Iko fresh nasikia ni nzuri, sema bei yake imeshiba, akina chausiku wa gongo la mboto sijui kama watazimudu
35 ndo bei yake ila nasikia kuna fake zimeingia unapata mpaka 25, so wakat unanunua uwe makini, usije nunua fake ukaumuka uso binamu yangu, ila nasikia ni nzuri sana, ndo caro light ya kishua
Hapo Le Mutuz ndipo wengine huwa hatukuelewi umri wako na mambo yako ni tofauti!
Hapo Le Mutuz ndipo wengine huwa hatukuelewi… umri wako na mambo yako ni tofauti!
Hamisa ni mshikaji wangu wa karibu sana sasa unasema kwa kusema hivyo ninakuwa sijielewi? hahahahaha
Le Big Show
Duh,
Mbona Hamisa mwenyewe kasema hakufahamu?
Ahahaha vip umeamkaje? Kuna mtu kanivuruga mtaa wa kati apo nimetoka kumpa vyake, *****
Ahahaha vip umeamkaje? Kuna mtu kanivuruga mtaa wa kati apo nimetoka kumpa vyake, *****