Usiyoyajua kuhusu Hamisa Mobeto

Usiyoyajua kuhusu Hamisa Mobeto

Status
Not open for further replies.
Huyu mtoto analiwa na Michael mlingwa aka mx.

Yule cheusi dawa mpiga picha? Best yake na flaviana matata? Khaa sasa kale kajamaa kana mpa nini huyu malaya anayejifanya matawi ya juu, ila sishangai hamisa kashapitiwa na wengi, kuna siku nilikuwa nae coco zaman kidogo hata jina hana kipindi hicho walikuwa na mashoga zake, jamaa yangu akakachukua akaenda kukatia madole kwenye gari, sema kanajipenda na kana ongea vizur sana
 
Kama ni wa 1994 alitakiwa awe na 20yrs.....sasa hiyo miaka 21 kaifikisha lini? (As per para 3)
 
kudanganya umri wasichana wabongo n nouma,mwakani atasema ana miaka 20 kama Wema S,Jacki W,Irene U hawa hua hawakui ila sura zao ndo zinaongea kama ni vijeba wazoefu.
 
Binadamu umenichekesha eti queen Elizabeth itabdi nikazane kuitumia

Iko fresh nasikia ni nzuri, sema bei yake imeshiba, akina chausiku wa gongo la mboto sijui kama watazimudu
 
Ni sh.ngapi?

35 ndo bei yake ila nasikia kuna fake zimeingia unapata mpaka 25, so wakat unanunua uwe makini, usije nunua fake ukaumuka uso binamu yangu, ila nasikia ni nzuri sana, ndo caro light ya kishua
 
35 ndo bei yake ila nasikia kuna fake zimeingia unapata mpaka 25, so wakat unanunua uwe makini, usije nunua fake ukaumuka uso binamu yangu, ila nasikia ni nzuri sana, ndo caro light ya kishua

Kumbe ni ya kujichubua tena nimeghairi
 
Aisee humu kuna wapiga domo balaa kama sio ,magazeti ya mdomo

Huyu WARUMI ,anatisha aisee nazan east Africa hakuna kama yeye kwa umbea duuuhh
 
Hapo Le Mutuz ndipo wengine huwa hatukuelewi… umri wako na mambo yako ni tofauti!

- Sema hujielewi wewe kweli unaweza kusema mimi sijielewi na wewe unanizungumzia na wenzako kama ulivyosema mwenyewe please sema lingine la kujielewa halipo labda wewe hujielewi U know, Hamisa ni mshikaji wangu wa karibu sana sasa unasema kwa kusema hivyo ninakuwa sijielewi? hahahahaha

Le Big Show
 
Et 1994,
Imagine aligombea miss Tanzania mwaka 2011,je aliruhusiwa kufanya hivyo akiwa na miaka 17?
 
Ahahaha vip umeamkaje? Kuna mtu kanivuruga mtaa wa kati apo nimetoka kumpa vyake, *****


Binamu sasa hivi utaacha celebrity likiwa na ukiwa maana watakupiga ban...binamu wewe mtu muhimu humu wanakutafutia ban
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom