Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Ukija na andiko ilo basi ukubali kuitwa mchochezi au kuitwa centralNatamani kesho uje na kichwa cha mada kisemacho
USIYO YAJUA KUHISU IKULU YA TANGANYIKA(now tz bara)
Uzungumzie vitu kama
Aliye chora ramani
Kuna matengenezo yoyote/maboresho yamewahi kufanyika?
Ni kweli kuna barabara za siri za kutokea baharini?
N.k n.k