Usiyoyajua kuhusu kabila la wabena

Usiyoyajua kuhusu kabila la wabena

Wana sifa ya dharau zilizopitiliza pia. Na huwa haijalishi awe masikini au tajiri dharau ziko pale pale hasa wanapogundua wewe ni wakuja ni dharau mtindo mmoja. Nimeishi nao sana Njombe na kwetu Ruvuma wamejaa.
Be!
Wabena wana dharau Nakataa kata kata, wabena ni kabila linalosifika kwa ukarimu, upole na unyenyekevu kuliko makabila yote Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia mabinti wa kibena ni wadhaifu kwa mameni, hawachelewi kuvua chupi. Nishakuwa nao na kuprove udhaifu wao
 
Nasikia mabinti wa kibena ni wadhaifu kwa mameni, hawachelewi kuvua chupi. Nishakuwa nao na kuprove udhaifu wao
Mabinti wa kabila gani hawachelewi kuvua chupi?

Wana sifa ya dharau zilizopitiliza pia. Na huwa haijalishi awe masikini au tajiri dharau ziko pale pale hasa wanapogundua wewe ni wakuja ni dharau mtindo mmoja. Nimeishi nao sana Njombe na kwetu Ruvuma wamejaa.
Wabena hatuna dharau hata kidogo rudia utafiti wako tena.
 
Hii umeielezea kwa uchache sana. Ungeendelea zaidi mfano tamaduni zao, tawala (machifu wao) zao, ngoma zao, chakula chao kikuu, mila na desturi zao hususani matambiko bila kusahau ule situ wao wa maajabu.
Pia hajafafanua vizuri wabena wa kilombero na malinyi wanaitwa Wabena Manga. Lugha zao ni mixture na maneno ya wenyeji kwa maana ya wandamba na wapogoro. Chief wao wa mwisho anaitwa Mtema Towegale Kiwanga. Makao yake yalikua Utengule Mlimba Ukikisoma kitabu kiitwacho Ubena Of The Rivers by A. T. Culwick. Kina historia nzuri sana na kwanini waliitwa
Wabena Manga.
 
Halafu kuna makabila hayatajwi tajwi sana ila yapo. Mfano ukisema tu unatokea Iringa mtu anamalizia na kusema "We ni mhehe" ukimkatalia anasema unaogopa nitakwambia unakula mbwa
Mtwara unaitwa mmakonde wakati kuna Wamakua akina Ben Mkapa.
 
Sawa lakini Njombe haiko Iringa
Sio kweli mkuu unachodai wilaya ya mafinga ina mchanganyiko wa wabena na wahehe. Pia sio kwasababu ni mkoa ukajua lazima uwe na kabila moja Kwa taarifa yako wabena wako mpaka baadhi ya wilaya za Morogoro mfano wilaya ya malinyi mkoani Morogoro wanaitwa wabena Manga. Mkoa wenyewe wa Njombe bado kuna makabila kama wakinga, wanyasa , wamanda , wapangwa na wawanji. Iringa haijabaki na wahehe peke yake. Wabena wapo wengi Tu hasa wilaya ya Mufindi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana sifa ya dharau zilizopitiliza pia. Na huwa haijalishi awe masikini au tajiri dharau ziko pale pale hasa wanapogundua wewe ni wakuja ni dharau mtindo mmoja. Nimeishi nao sana Njombe na kwetu Ruvuma wamejaa.
Muongo sana wewe. Wewe ndo utakuwa na dharau
 
Back
Top Bottom