francis kibiki
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 477
- 516
BE ACHA UDESI WEWWana sifa ya dharau zilizopitiliza pia. Na huwa haijalishi awe masikini au tajiri dharau ziko pale pale hasa wanapogundua wewe ni wakuja ni dharau mtindo mmoja. Nimeishi nao sana Njombe na kwetu Ruvuma wamejaa.
Be!Wana sifa ya dharau zilizopitiliza pia. Na huwa haijalishi awe masikini au tajiri dharau ziko pale pale hasa wanapogundua wewe ni wakuja ni dharau mtindo mmoja. Nimeishi nao sana Njombe na kwetu Ruvuma wamejaa.
wanadharau kweliBe!
Wabena wana dharau Nakataa kata kata, wabena ni kabila linalosifika kwa ukarimu, upole na unyenyekevu kuliko makabila yote Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli kabisa. Ingawa nahisi ni kanda yote ya Iringa, Njombe, Songea hadi Mbeya. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasikia mabinti wa kibena ni wadhaifu kwa mameni, hawachelewi kuvua chupi. Nishakuwa nao na kuprove udhaifu wao
Mabinti wa kabila gani hawachelewi kuvua chupi?Nasikia mabinti wa kibena ni wadhaifu kwa mameni, hawachelewi kuvua chupi. Nishakuwa nao na kuprove udhaifu wao
Wabena hatuna dharau hata kidogo rudia utafiti wako tena.Wana sifa ya dharau zilizopitiliza pia. Na huwa haijalishi awe masikini au tajiri dharau ziko pale pale hasa wanapogundua wewe ni wakuja ni dharau mtindo mmoja. Nimeishi nao sana Njombe na kwetu Ruvuma wamejaa.
Pia hajafafanua vizuri wabena wa kilombero na malinyi wanaitwa Wabena Manga. Lugha zao ni mixture na maneno ya wenyeji kwa maana ya wandamba na wapogoro. Chief wao wa mwisho anaitwa Mtema Towegale Kiwanga. Makao yake yalikua Utengule Mlimba Ukikisoma kitabu kiitwacho Ubena Of The Rivers by A. T. Culwick. Kina historia nzuri sana na kwanini waliitwaHii umeielezea kwa uchache sana. Ungeendelea zaidi mfano tamaduni zao, tawala (machifu wao) zao, ngoma zao, chakula chao kikuu, mila na desturi zao hususani matambiko bila kusahau ule situ wao wa maajabu.
Mtwara unaitwa mmakonde wakati kuna Wamakua akina Ben Mkapa.Halafu kuna makabila hayatajwi tajwi sana ila yapo. Mfano ukisema tu unatokea Iringa mtu anamalizia na kusema "We ni mhehe" ukimkatalia anasema unaogopa nitakwambia unakula mbwa
Sio kweli mkuu unachodai wilaya ya mafinga ina mchanganyiko wa wabena na wahehe. Pia sio kwasababu ni mkoa ukajua lazima uwe na kabila moja Kwa taarifa yako wabena wako mpaka baadhi ya wilaya za Morogoro mfano wilaya ya malinyi mkoani Morogoro wanaitwa wabena Manga. Mkoa wenyewe wa Njombe bado kuna makabila kama wakinga, wanyasa , wamanda , wapangwa na wawanji. Iringa haijabaki na wahehe peke yake. Wabena wapo wengi Tu hasa wilaya ya Mufindi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida yenu huwa wazazi hawaleti watoto nyumbaniNafarijika sana, me pia ni mbena ila sijawahi kufika ubenani binafsi nimezaliwa mbeya na kukulia dar...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana sifa ya dharau zilizopitiliza pia. Na huwa haijalishi awe masikini au tajiri dharau ziko pale pale hasa wanapogundua wewe ni wakuja ni dharau mtindo mmoja. Nimeishi nao sana Njombe na kwetu Ruvuma wamejaa.
Nasikia mabinti wa kibena ni wadhaifu kwa mameni, hawachelewi kuvua chupi. Nishakuwa nao na kuprove udhaifu wao
Hii kweli kk wanapenda sana hyo halali kwa harali[emoji16][emoji16]
Sio kabila zote hpn sema wanashabiriana sana kiukarimu na wasukuma wa mwanza na shinyangawanadharau kweli
Nimekuja njombe nimetembea baadhi ya maeneo kama utengule.itengule.kifanya.lupembe.mdandu.kichiwa.manda.ludewa.makete.ihanga.ngaranga.uwemba n.k
Hautumii nguvu kuwatongozaSio kabila zote hpn sema wanashabiriana sana kiukarimu na wasukuma wa mwanza na shinyanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Muongo sana wewe. Wewe ndo utakuwa na dharauWana sifa ya dharau zilizopitiliza pia. Na huwa haijalishi awe masikini au tajiri dharau ziko pale pale hasa wanapogundua wewe ni wakuja ni dharau mtindo mmoja. Nimeishi nao sana Njombe na kwetu Ruvuma wamejaa.
Huyo jamaa ni pumbavu sana. Sisi wabena Hatuna desturi ya dharauBe!
Wabena wana dharau Nakataa kata kata, wabena ni kabila linalosifika kwa ukarimu, upole na unyenyekevu kuliko makabila yote Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app