britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Ruge ni mastermind wa kampeni za CCMHapo ujue kanisa limemtenga ingawa kule Bukoba wanasema mambo yote ya kanisa yamekamilika! Sky nikuulize, what was special with Ruge? Mimi sikumjua mapaka alipovamiwa na makonda... nilikuwa sijawahi kumsikia! najua mtanicheka, lkn ndio ukweli wangu!
Hapana mkuu kwetu ni BukobaNdio mkuu,...nilikuwa sijui kumbe na wewe ni wa kanda ile, nyumbani kwa kina dudubaya!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina marafiki wengi wa kihaya lakini sijawahi kuwaacha peke yao na madem zangu, kwa sababu hakawii kuwaambia " nikugambirage "[emoji847][emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ruge alikuwa ni kijana very influential mjini. Kama Pascal Mayalla alivyosema alikuwa na Kipaji cha kuona vipaji vya vijana. Alibuni wazo la kuajiri vijana kutoka na vipaji vyao na si kwa elimu zao. Hili limeiletea Clouds ufanisi mkubwa.Hapo ujue kanisa limemtenga ingawa kule Bukoba wanasema mambo yote ya kanisa yamekamilika! Sky nikuulize, what was special with Ruge? Mimi sikumjua mapaka alipovamiwa na makonda... nilikuwa sijawahi kumsikia! najua mtanicheka, lkn ndio ukweli wangu!
Walishitaki kupata haki yao au ndio porojoLady jaydee alisema kabisa na thread iko humu juzi waliibua kuwa akifa wa kwanza asifike hata kwenye msiba wake! dudubaya alishaamua kutekwa alipojitoa mhanga, means alifanyiwa ukatili mkubwa sana!
Ruge alimshitaki Jide kwa kumchafua na akashinda mahakamani kwanini na wao hawakwenda mahakamaniLady jaydee alisema kabisa na thread iko humu juzi waliibua kuwa akifa wa kwanza asifike hata kwenye msiba wake! dudubaya alishaamua kutekwa alipojitoa mhanga, means alifanyiwa ukatili mkubwa sana!
Siyo kila kitu kiende mahakamani! Is that right?Walishitaki kupata haki yao au ndio porojo
Kila mmoja ana amna ya ku handle difficult situations!Ruge alimshitaki Jide kwa kumchafua na akashinda mahakamani kwanini na wao hawakwenda mahakamani
Hizo ndio porojoSiyo kila kitu kiende mahakamani! Is that right?
Ok, nadhani nimesigana sana na rika hilo ndio maana siyajui ya Ruge. Mke wangu ananiambia kuwa ndiye aliyemleta saida Karoli Dar na aliondoka akilalamika kudhulumiwa!Ruge alikuwa ni kijana very influential mjini. Kama Pascal Mayalla alivyosema alikuwa na Kipaji cha kuona vipaji vya vijana. Alibuni wazo la kuajiri vijana kutoka na vipaji vyao. na si kwa elimu zao. Hili limeiletea Clouds ufanisi mkubwa.
You must be crazy, misundestandings zote huwa zinaishia mahakamani?
No si Ruge, enzi za Saida Karoli Ruge alikuwa bado anasoma Marekani.Ok, nadhani nimesigana sana na rika hilo ndio maana siyajui ya Ruge. Mke wangu ananiambia kuwa ndiye aliyemleta saida Karoli Dar na aliondoka akilalamika kudhulumiwa!
Mimi nimemsikia baada ya dudubaya kumsema hovyo. comments kwenye mtandao reveal the man had uncanny ability to divide and unite in equal measure.Hapo ujue kanisa limemtenga ingawa kule Bukoba wanasema mambo yote ya kanisa yamekamilika! Sky nikuulize, what was special with Ruge? Mimi sikumjua mapaka alipovamiwa na makonda... nilikuwa sijawahi kumsikia! najua mtanicheka, lkn ndio ukweli wangu!
Exactly, hajasemwa vizuri na mitandao, kuna equal division between the likes and dislikes!Mimi nimemsikia baada ya dudubaya kumsema hovyo. comments kwenye mtandao reveal the man had uncanny ability to divide and unite in equal measure.
Nami napenda kulijua hiloAlikuwa anasali kanisa gani? Mbona hakuna misa ya kumuaga ni ibada tu zinazoongozwa na familia?