Usiyoyajua kuhusu Ruge, licha ya kuacha alama kwenye maisha ya wengi, Ruge alikuwa ana damu kali, alama zipo

Usiyoyajua kuhusu Ruge, licha ya kuacha alama kwenye maisha ya wengi, Ruge alikuwa ana damu kali, alama zipo

Hapo ujue kanisa limemtenga ingawa kule Bukoba wanasema mambo yote ya kanisa yamekamilika! Sky nikuulize, what was special with Ruge? Mimi sikumjua mapaka alipovamiwa na makonda... nilikuwa sijawahi kumsikia! najua mtanicheka, lkn ndio ukweli wangu!
Ruge alikuwa ni kijana very influential mjini. Kama Pascal Mayalla alivyosema alikuwa na Kipaji cha kuona vipaji vya vijana. Alibuni wazo la kuajiri vijana kutoka na vipaji vyao na si kwa elimu zao. Hili limeiletea Clouds ufanisi mkubwa.
 
Ruge alikuwa ni kijana very influential mjini. Kama Pascal Mayalla alivyosema alikuwa na Kipaji cha kuona vipaji vya vijana. Alibuni wazo la kuajiri vijana kutoka na vipaji vyao. na si kwa elimu zao. Hili limeiletea Clouds ufanisi mkubwa.
Ok, nadhani nimesigana sana na rika hilo ndio maana siyajui ya Ruge. Mke wangu ananiambia kuwa ndiye aliyemleta saida Karoli Dar na aliondoka akilalamika kudhulumiwa!
 
Hapo ujue kanisa limemtenga ingawa kule Bukoba wanasema mambo yote ya kanisa yamekamilika! Sky nikuulize, what was special with Ruge? Mimi sikumjua mapaka alipovamiwa na makonda... nilikuwa sijawahi kumsikia! najua mtanicheka, lkn ndio ukweli wangu!
Mimi nimemsikia baada ya dudubaya kumsema hovyo. comments kwenye mtandao reveal the man had uncanny ability to divide and unite in equal measure.
 
Back
Top Bottom