Usiyoyajua kuhusu Ruge, licha ya kuacha alama kwenye maisha ya wengi, Ruge alikuwa ana damu kali, alama zipo

Naskia kesho ndege itatua kidogo kwa airport yetu tutakuwa pale tutandika khanga wapite kabla ya kuelekea bukoba.

Watanzania tutakunyima mboga ila upendo/ mahaba tutakupa bila chuki
 
Watoto watano mama separately? Kifupi alizaa na wanawake wanne (Zamaradi ana watoto wawili). Hakuweza kuishi hata na mmoja wao. AU hata kuoa kwa umri ule ili naye leo aagiwe nyumbani kwake? Daaah ni kazi sana sana. Anyway kizuri hakikosi kasoro. A man is respected by the kind of family he managed to raise but not the wealth he created.
 
We we jamaa uje uandike kitabu bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani familia NN mkuu ? Si wale watoto anao ? Nafikiri alishawahi kuishi na zamaradi
 
Kwani familia NN mkuu ? Si wale watoto anao ? Nafikiri alishawahi kuishi na zamaradi
Mkuu kwa mila na tamaduni za kiafrika bila kuficha hata wazazi wake huyu kijana marehemu walitamani kwa umri wa karibia 50 years angekuwa na nyumbani kwake kwenye mke na watoto. Tofauti hii imegusa wengi kwa hakika. Kuwa na watoto kila mmoja na mama yake maana yake hakuna malezi ya pamoja hapo hivyo ile sense ya familia inapotea. In Africa voice a nuclear family consists of father, mother and children living together I.e under one roof or living together in principle but separated by social and economic affairs (utengano wa muda kwa kazi au jambo la kijamii).
 
Mkuu kwani kuwa na familia hadi uishi na mume au mke,pia sijaona sehemu iliposemwa kwamba alishindwa kuimudu hiyo au hao watoto wake watano. Tuache kukariri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…