Usiyoyajua kuhusu Ruge, licha ya kuacha alama kwenye maisha ya wengi, Ruge alikuwa ana damu kali, alama zipo

Huyo ndiye hafai kabisa ... huwa najiuliza mkewe ana moyo mgumu kiasi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora kulia kwenye Benzi kuliko kucheka kwenye baiskeli

Mkewe Shigongo ni mwl alikuwaga field jangwani basi alikua anafundisha wake wenzaa!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa mkuu
 
Hahaha unafundisha wanafunzi huku wana kung'ong'a ....

Anyway ni bora kulia kwenye benzi kuliko kucheka bara barani ukiwa unatembea kwa miguu
 
Hapo ujue kanisa limemtenga ingawa kule Bukoba wanasema mambo yote ya kanisa yamekamilika! Sky nikuulize, what was special with Ruge? Mimi sikumjua mapaka alipovamiwa na makonda... nilikuwa sijawahi kumsikia! najua mtanicheka, lkn ndio ukweli wangu!

Lakini si kuna kutubu babu? Pengine alitubu kabla ya umauti na kupokea sakramenti, sisi binadamu tumeumbwa kuhukumu...Pia tukumbuke kuzikwa na maaskofu siyo kufika mbinguni. Uaweza kuzikwa na maaskofu dunia nzima lakini jee ulimalizaje safari yakoo?
Na unaweza usizikwe wala usisomewe misa lakini je safari yako uliiimalizjee.....

Maisha ya RUGE km alikuwa mzuri kiasi gani au mbaya kiasi gani bado sisi binadamu hatuna nafasi ya kumhukumu.Ni Mungu pekee....kutegemea vipi yeye kama yeye amemalizaje maisha yake ya hapa duniani. Pengine alipata nafasi ya kutubu na kurudisha maisah yake kwa Mungu...anajua yeye na Mungu wake.

TUSIHUKUMU TUNAPATA DHAMBI....SI KAZI YETU
 
Kokutona:
1. nasikia misa imesaliwa na Katekista? Why? Mtu "mashuhuru" kama huyo?
2. Sisi hatumhukumu, tunasema matendo yake alipokuwa hai, yaliotugusa, mema kwa mabaya..we can not avoid this anyway! Wewe unasemwa na mimi nnasemwa watu wanachokiona nakifanya, nakisema tc.
3. Kuna watu wanamnanga vibaya, wana haki ya kutoa yaliyomoyoni mwao!
4. Kutubu hayo ni yake na Mungu....
 

1, Ndo maana nikasema katekista au askofu hakupi tiketi ya kuiona pepo. Uwe mashuhuri uwe underground, Pepo unaiandaa mwenyewe.
2. Kusema kupo na binadamu yyte bila kusemwa hujakamilika. But inapofikia pale tunasema alikuwa na mabaya ndo maana hakufanyiwa misa. Tunahukumu, tunafanya kazi ya Mungu, PIa tunajitafutia dhambi. Hatujiu Ruge alimalizaje safari yake pale kitandani alipokuwa anaumwa.
Narudia maisha yetu baada ya umauti tunajitengenezea sisi wenyewe na wala si kusaliwa na makatekista au maaskofu
3, Sijakataa, ila kukumbushana kupo tulioduniani wote tuna dhambi na tumepungukiwa na utukufu wa Mungu. Tuendelee kunanga but siku zetu zaja.
4. Exactly tumuachie Mungu afanye kazi yake. Tusimchagulie Mungu mahali pa kumpeleka mjoli wake
 
Hizi kopi mbona hatuambiwi majina yao wala mama zao, hapo mnaficha historia kamili ya Hayati Rugemarila Mutahaba.
Alafu pia wanasema alikuwa msirikali ni kuna ukweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…