LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Nope Ruge amegraduate mwaka 1995.Saida Karoli ametoka mwaka 2001No si Ruge, enzi za Saida Karoli Ruge alikuwa bado anasoma Marekani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope Ruge amegraduate mwaka 1995.Saida Karoli ametoka mwaka 2001No si Ruge, enzi za Saida Karoli Ruge alikuwa bado anasoma Marekani.
Bora kulia kwenye Benzi kuliko kucheka kwenye baiskeliHuyo ndiye hafai kabisa ... huwa najiuliza mkewe ana moyo mgumu kiasi gani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuMkuu kwa mila na tamaduni za kiafrika bila kuficha hata wazazi wake huyu kijana marehemu walitamani kwa umri wa karibia 50 years angekuwa na nyumbani kwake kwenye mke na watoto. Tofauti hii imegusa wengi kwa hakika. Kuwa na watoto kila mmoja na mama yake maana yake hakuna malezi ya pamoja hapo hivyo ile sense ya familia inapotea. In Africa voice a nuclear family consists of father, mother and children living together I.e under one roof or living together in principle but separated by social and economic affairs (utengano wa muda kwa kazi au jambo la kijamii).
Mkuu kuwa na staa hayo mambo hayana mwenyewe,
Hahaha unafundisha wanafunzi huku wana kung'ong'a ....Bora kulia kwenye Benzi kuliko kucheka kwenye baiskeli
Mkewe Shigongo ni mwl alikuwaga field jangwani basi alikua anafundisha wake wenzaa!!![emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
HongeraHapo ujue kanisa limemtenga ingawa kule Bukoba wanasema mambo yote ya kanisa yamekamilika! Sky nikuulize, what was special with Ruge? Mimi sikumjua mapaka alipovamiwa na makonda... nilikuwa sijawahi kumsikia! najua mtanicheka, lkn ndio ukweli wangu!
Hapo ujue kanisa limemtenga ingawa kule Bukoba wanasema mambo yote ya kanisa yamekamilika! Sky nikuulize, what was special with Ruge? Mimi sikumjua mapaka alipovamiwa na makonda... nilikuwa sijawahi kumsikia! najua mtanicheka, lkn ndio ukweli wangu!
hiyo ya kiserekali YESU anaitambuahakuoa ya kimila wala ya kidini lakini ya kiserikali...ile inayosema ukiishi na mke zaidi ya miezi 6 ni mkeo alikuwa nayo
Hahaaa!ndo hvyo full kukung'ong'a yaani!!Hahaha unafundisha wanafunzi huku wana kung'ong'a ....
Anyway ni bora kulia kwenye benzi kuliko kucheka bara barani ukiwa unatembea kwa miguu
YESU NDIO NANI KWANI...?hiyo ya kiserekali YESU anaitambua
Kokutona:Lakini si kuna kutubu babu? Pengine alitubu kabla ya umauti na kupokea sakramenti, sisi binadamu tumeumbwa kuhukumu...Pia tukumbuke kuzikwa na maaskofu siyo kufika mbinguni. Uaweza kuzikwa na maaskofu dunia nzima lakini jee ulimalizaje safari yakoo?
Na unaweza usizikwe wala usisomewe misa lakini je safari yako uliiimalizjee.....
Maisha ya RUGE km alikuwa mzuri kiasi gani au mbaya kiasi gani bado sisi binadamu hatuna nafasi ya kumhukumu.Ni Mungu pekee....kutegemea vipi yeye kama yeye amemalizaje maisha yake ya hapa duniani. Pengine alipata nafasi ya kutubu na kurudisha maisah yake kwa Mungu...anajua yeye na Mungu wake.
TUSIHUKUMU TUNAPATA DHAMBI....SI KAZI YETU
Kokutona:
1. nasikia misa imesaliwa na Katekista? Why? Mtu "mashuhuru" kama huyo?
2. Sisi hatumhukumu, tunasema matendo yake alipokuwa hai, yaliotugusa, mema kwa mabaya..we can not avoid this anyway! Wewe unasemwa na mimi nnasemwa watu wanachokiona nakifanya, nakisema tc.
3. Kuna watu wanamnanga vibaya, wana haki ya kutoa yaliyomoyoni mwao!
4. Kutubu hayo ni yake na Mungu....
Teh teh Mayalla kwao mtindi?kwenu kumbe si njaa
Msirikali ndio nini?Hizi kopi mbona hatuambiwi majina yao wala mama zao, hapo mnaficha historia kamili ya Hayati Rugemarila Mutahaba.
Alafu pia wanasema alikuwa msirikali ni kuna ukweli ?
Saida aliletwa na Muta na MalinziOk, nadhani nimesigana sana na rika hilo ndio maana siyajui ya Ruge. Mke wangu ananiambia kuwa ndiye aliyemleta saida Karoli Dar na aliondoka akilalamika kudhulumiwa!