Usiyoyajua kuhusu Ruge, licha ya kuacha alama kwenye maisha ya wengi, Ruge alikuwa ana damu kali, alama zipo

Malinzi Wa BMT na Muta ndo walimnyorosha Saida mpaka saiz Ruge ndo kamrudisha kwenye mziki maana ashakua muimba visiwani kwa walevi Wa gongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mayalla kwa mtu mzima kama wewe kuamua kuhighlight this side of his life, umenisikitisha sana. Hili ndo tatizo kubwa letu sisi watanzania. Uwezo mdogo wa kufanya maamuzi yenye tija kwetu binafsi na jamii inayotuzunguka. Life is about choices. Kuanzia unapoamka na kuamua ushuke kitandani, uvae soksi gani, ule nini leo, etc. Na wewe ulikuwa na choice leo ya kuneemesha bongo za wananzengo hapa kwa kuhighlight mambo mengi yenye tija tusiyoyajua kuhusu Ruge. Lakini ukamuua hili. Tubadilike watanzania.
 
Daa, eti hizi ndo great minds na discussions zao. Kweli Tanzania ni ya viWonder.

Wake kwa waume wanatumia resource kubwa kuliko zote waliyonayo ya muda, kujidanganya ukamilifu wao na kunanga wenzao. Badala ya kujiuliza maana ya maisha yao hapa duniani ni nini na wataacha alama gani? Ya umbea? Roho mbaya isiyotaka wengine wafanikiwe kukuzidi? etc. wanajadili maisha binafsi ya mtu aliyemaliza vita yake. Kaazi kwelikweli.
 

Paschal Ng'waguku!
I like your post kuhusu Ruge. Actually kama hawa vijana wanaomlilia mpendwa wetu huyu, kama kikweli kweli wanataka kumuenzi, wanatakiwa siku moja sasa waje wazibe hilo pengo lake. It's an undeniable fact kwamba kwa juzi,jana na leo pengo lake halizibiki but given time, kesho linatakiwa lizibike ili vijana wanaoamini kuwa amewaachia kitu kikubwa katika maisha yao, waweze kuthibitisha hilo kwa vitendo na si kwa maneno tu. Alichokuwa akifanya Ruge, maisha yake na kazi zake wa-Tanzania wote wamekiona na wamekikubali kuanzia viongozo wetu wa juu wa Nchi, hadi raia wa kawaida kama mimi. Vijana hawa sasa especially ambao walikuwa karibu naye akiwa kama mentor wao, wanatakiwa sasa wamuenzi kwa kufanya hata zaidi ya kile yeye aliweza kufanya, huko mbele ya safari. Pengo la Ruge ambalo halitazibika ni kwamba phsically hatuko naye tena, and we shall never be, ila kile alichokuwa akifanya katika maisha yake amekiacha tena kwa watu wengi tu na si kwa mtu mmoja. Kwa hiyo position ya Ruge kimatendo inatakiwa izibike, tena izibwe na watu wengi tu na si mmoja, ila phsically ndiyo pengo lake halitazibika kwa sababu hiyo ni kawaida ni Mungu aliweka hivyo. Nitashangaa mno miaka 5 au 6 mbele vijana watakuwa ni wale wale na hajachipuka hata mmoja wa kufanana naye, wakati talanta zote amewaachia. Ikitokea hivyo basi hawa vijana watakuwa na kesi ya kujibu kwa Mungu siku moja!
 
Afadhali umeliona ndugu dah Pasco hapana kwa kweli, umesahau yako na Mataka au jnajisahaulisha!
 
Ndio mkuu,...nilikuwa sijui kumbe na wewe ni wa kanda ile, nyumbani kwa kina dudubaya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…