Bila shaka kuna wenye vipato vyao huwamudu hao, sio wenzangu na mimi.Wana kondoo wao wanaitwa Ladoum kipindi cha sikukuu za Eid bei zake zinaweza kufika mpaka $80,000. Hiyo ni zaidi ya 187M Tshs
View attachment 2560778
Watanzania bado wana mawazo mgando kua maisha ni nyumbani tu, ndio maana wengi wakifika mamtoni hawafanikiwi maana wanawaza wavute pesa halafu warudi kujitanua/kujenga bongo matokeo yake Mission impossible. Hatukatai nyumbani ni nyumbani, lakini pia huko unapoishi ni vizuri ukawekeza na nyumba ukanunua . Unakuta mtu familia yake ipo ughaibuni lakini kila siku anawaza bongoland, tuwe kama wahindi na wenzetu wengine wa west africans , kwamba maisha ni popote tu. Mie kwa Biden siondoki kabisa, bongo ni vacation kwanza uzao wangu wa kwanza uko huku acha nibebe mabox hadi kieleweke mambo ya kurudi nyumbani na kukutana na umeme wa ku ungaunga wa kipara ni Big noo.Hii ipo damuni ,, ona Tu hata watumishi wa serikali hapahapa Tanzania wanapambama kila kukicha kutafuta uhamisho kurud Mikoa waliyozaliwa
Gambia tulipita wakati tunaenda mji unaitwa Kaolack.Vpi mkuu, hapo jirani Gambia, ulifanikiwa kufika pia!?
Za wastani. Si nyingi....Je Dada zao Wana chura Kama hapa bongo au Kampala?
kwa haraka haraka bajeti ya kwenda ni kama sh ngapi hvi?Jamaa wako poa mno. Hawana makuu.
Sea plaza sijawahi kufika.
Supermarket nyingi ni AUCHAN mfaransa. Pia kuna CASSINO SUPERMARKETS na nyingine nyingi.
Nipatapo wasaha kurejea nchi ile nitazunguka zaidi...
Very good country.
Ahsante sana kwa taarifa. Nakuelewa sana hapo unaposema shortcut. Unatoka sehemu moja Senegal kupitia Gambia kwenda Senegal. Safi sana hiiG
Gambia tulipita wakati tunaenda mji unaitwa Kaolack.
Kuna njia mbili moja uzunguke mji wa Senegal unaitwa Tambacounda au upite Gambia kama shortcut.....
Gambia polisi wao wanapenda rushwa sana na wamejaa barabarani.
Kama una haraka andaa kibunda.
Unaposema viongozi wengi wa kiislam unazungumzia Mwinyi,Kikwete na Samia pia?Duu kuna viongozi ni hatari sana,viongozi wengi wa kiislam wapo straight sana.hawapendi wizi wizi,huku ukimuangalia Ruto tu sura take inaonyesha ni mwizi kupindikuia.
Haizidi dola 1000 au around dola 1000 kwenda na kurudi.kwa haraka haraka bajeti ya kwenda ni kama sh ngapi hvi?
Hakika. Gambia imezungukwa na Senegal na mpaka wake mmoja tu ndio bahari.Ahsante sana kwa taarifa. Nakuelewa sana hapo unaposema shortcut. Unatoka sehemubmoja Senegal kupitia Gambia kwenda Senegal. Safi sana hii
Inakua kama ufahari tuBila shaka kuna wenye vipato vyao huwamudu hao, sio wenzangu na mimi.
Kuna Wasenegal wengi sana Marekani na Canada.Watanzania bado wana mawazo mgando kua maisha ni nyumbani tu, ndio maana wengi wakifika mamtoni hawafanikiwi maana wanawaza wavute pesa halafu warudi kujitanua/kujenga bongo matokeo yake Mission impossible. Hatukatai nyumbani ni nyumbani, lakini pia huko unapoishi ni vizuri ukawekeza na nyumba ukanunua . Unakuta mtu familia yake ipo ughaibuni lakini kila siku anawaza bongoland, tuwe kama wahindi na wenzetu wengine wa west africans , kwamba maisha ni popote tu. Mie kwa Biden siondoki kabisa, bongo ni vacation kwanza uzao wangu wa kwanza uko huku acha nibebe mabox hadi kieleweke mambo ya kurudi nyumbani na kukutana na umeme wa ku ungaunga wa kipara ni Big noo.
Magufuli anakubalika duniani na watu wengi hata huku kwa Biden pia.
Hao kondoo inategemea na nyakati.Bila shaka kuna wenye vipato vyao huwamudu hao, sio wenzangu na mimi.
Hii nzur inabidi iletwe bongo maana hapa kwetu unaweza nenda kiwandani kuanzia asubuh mpka jion ukapata buku 6Mziki wao ni mzuri sana ukichagizwa na namna wanavyocheza....
Mji wa Dakar una matajiri haswa. Barabara zao zimejaa magari ya kifahari latest. Majumba ni ya kifahari kwenye sehemu za kishua....
Wasenegal wanapenda kuendeleza vya kwao.
Wawekezaji wengi ni wazawa.
Jamii za wahindi, wachina si wengi kama Tanzania.
Wasenegal hawapendi kulipwa kidogo. Wao kazi ndogo hela nyingi....
Umesahau na France, utasema ndio kwao, hata timu ya taifa ya ufaransa imejaa weusi wengi wamezaliwa pale, kutokana na wazee wao kusettle pale wengi ni kutoka Senegal, Ivory Coast, Mali, Guinea, Cameroon etc. wengi ni 3rd or 4th generation. Wabongo wakikaa ughaibuni kidogo utawasikia wanataka kurudi nyumbani hawawazi kuhusu miaka 50 ijayo ya vizazi vyao. Ujamaa ulituharibu sana.Kuna Wasenegal wengi sana Marekani na Canada.
Jamaa wanapenda kutoka.... Sisi tunawaza kurudi home tu.
na accomodation zao vipi?na hyo ni dakar?Haizidi dola 1000 au around dola 1000 kwenda na kurudi.
Ni safari ya masaa 16-18 kwa kuwa hamna direct flight.
Ajabu sana. Eti mtu anauliza "kuna mademu wakali huko?"ulizia fursa mzee, wanawake wapo tu
Pussy za kule in organic wanamigongo balaaKuna madem wakali huko au wako ka wa east afrika huku sura personal
Mi nimeanza ukataa ugaliNiulize swali,
Hivi alieanzisha ugali Tanzania nani?
Hapo kwenye nafasi bora 10 za matajiri ni wazawa safisanaMoja ya nchi nazozihusudu na alhamdulillahi niliweza kufika. Japo ilikua short stay. Yote usemayo ni ya kweli. Na binafsi nahusudu sana muziki wao. Na kupitia wao nikapenda sana muziki wa Youssou Ndour na Baaba Maal magwiji wa muziki kutoka hapo, nikapenda wasanii kama Sona Jobarteh wa Gambia, Ali Farka Toure, Toumani Diabate, Ismael Lo(msenegal) and list goes on, kiujumla napenda sana muziki wao na wasanii kutoka Mali, Gambia na Senegal yenyewe..watu kama Salif Keita wa Mali. Baaba Maal huyu anaheshimika sana Senegal kama ilivyo Ndour na aliimba kwenye opening score(film score) za kwenye Black Panther zote 2 na ile movie ya black hawk..
Pia ni watu wapambanaji..list ya matajiri wao 10 wote ni wazawa.
Aah raha sana Senegal.
Viva la Senegal!
Kwamtu alie soma kisha anatembea anafaidi sana hata abae hakubahatika kusoma piaKondoo hawa ni gharama. Nadhani kwenye bei hapo ni 80,000/= CFA mpaka 160,000/= CFA kwa kawaida ambayo ni takribani 320,000/= mpaka 640,000/= Tshs.....
Sijajua kipindi cha Eid....