Moja ya nchi nazozihusudu na alhamdulillahi niliweza kufika. Japo ilikua short stay. Yote usemayo ni ya kweli. Na binafsi nahusudu sana muziki wao. Na kupitia wao nikapenda sana muziki wa Youssou Ndour na Baaba Maal magwiji wa muziki kutoka hapo, nikapenda wasanii kama Sona Jobarteh wa Gambia, Ali Farka Toure, Toumani Diabate, Ismael Lo(msenegal) and list goes on, kiujumla napenda sana muziki wao na wasanii kutoka Mali, Gambia na Senegal yenyewe..watu kama Salif Keita wa Mali. Baaba Maal huyu anaheshimika sana Senegal kama ilivyo Ndour na aliimba kwenye opening score(film score) za kwenye Black Panther zote 2 na ile movie ya black hawk..
Pia ni watu wapambanaji..list ya matajiri wao 10 wote ni wazawa.
Aah raha sana Senegal.
Viva la Senegal!