Usiyoyajua kuhusu Senegal

When I said jamaa wanapenda mazoezi ni kama hivi... Hii ni open gym... Serikali imeweka gym hapo ufukweni unaenda tu kufanya mazoezi mtu yoyote no kulipia... Imagine bongo uweke vyuma vikae tu bila ulinzi....
View attachment 2572441
Hao jamaa wana beach za mchezo wanaweka gym 😄 bongo mafisi hawawezi kuruhusu hii watapangishia hata wauza mihogo wakusanye ushuru buku buku
 

Yaan bongo sijui tuna shida gani aisee tunalala kama tupo Gerezan jinsi milango tunavyofunga na makufuli
 
Uongo uongo,wizi wizi tu sijui tupoje
Wakati nimefika Senegal nikaingia na tabia zangu za kitanzania... Muda ulivyokua unaenda nikaanza kubadilika. Maana wale jamaa hawadanganyi hovyo na they are very honest.... Nikaona nikiendelea na uswahili nitaharibu kazi.
Mimi ndio nikabadilika. Nilichowashinda tu ni uchapaji kazi wao wanafanya mambo yao slow sana na hawataki presha....
 
😂😂😂😂😂
Safi sanaa kwa kuiga mazuri
 
Wamejitambua na kuwa mfumo wao wa dini na si utumwa wa kutwishwa kila kitu bila kufikiri. Mfano, huu uvaaji wa ninja ni utamaduni wa kiiran wala siyo uislam. Natamani wawe na mji wao wa kuhiji badala ya kupoteza fedha uarabuni kwa wabaguzi
Hijja kwa waislamu iko moja tu dunia nzima Inapatikana Saudia...na itabaki hivyo mpaka qiyama
Na uislam hauna fikra za mtu zitumike hakunga,,

Kuvaa niqab ni dalili katika dini nawala si utamaduni wa Iran...
 
Hijja kwa waislamu iko moja tu dunia nzima Inapatikana Saudia...na itabaki hivyo mpaka qiyama
Na uislam hauna fikra za mtu zitumike hakunga,,

Kuvaa niqab ni dalili katika dini nawala si utamaduni wa Iran...
Nadhani taratibu zinatofautiana nchi na nchi kwenye niqab... Sasa hv kipindi cha ramadhani naona wanawake wanafunga vilemba kuficha kichwa. Lakini hijab hawavai.
 
PVC & ALUMINIUM
PARTITION BALCONY MADIRISHA MILANGO
tuone kupitia namba hii 0735432020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…