JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Macky Sall kashasahau dhuluma alizofanyiwa na Wade, sasa na yeye anawafanyia wenzake.Ni sahii sana.
Macky Sall anajaribu kubadili katiba ili agombee kwa muhula wa tatu. Kumekua na upinzani mkali kutoka kwa kijana Ousmane Sonko.
Amempa kesi ya ubakaji.
Kila alhamis kuna maandamano na kila akipelekwa mahakamani kuna maandamano.
Cha kushangaza maandamano yao kama uhusiki polisi hakugusi unaweza pishana nao hawana shida...